hawa jamaa kweli wanatudharau mi nadhani tuangalie Rais ajaye awe strong zaid watatia adabu ila tukichagua mtu asiyejiamini matokeo yake ndio hayaLakini Mkuu Molemo Mimi mwenyewe ya BMK sijayafurahia hata kidogo ila pale amesimama kama Tanzania na hapo ndio ninaona kuna umuhimu wa kuweka utaifa mbele hii ni dharau
Hii picha kila nikiiangalia na nikimuangalia Mh Samuel Sitta anavyowaangalia wenzake kwa hasira baada ya kumtenga kwenye majani na kwenye kiti cha peke yake wenzake wako kwenye red carpet roho inaniuma, kama mbwai mbwai tu na ndoa ivunjike

Au huyu sitta hicho kiti alikuja nacho mwenyewe akajipachika hapo nini? kukalishwa kwenye majani ni aibu sana tena na ti cha kitchen party
Hii picha kila nikiiangalia na nikimuangalia Mh Samuel Sitta anavyowaangalia wenzake kwa hasira baada ya kumtenga kwenye majani na kwenye kiti cha peke yake wenzake wako kwenye red carpet roho inaniuma, kama mbwai mbwai tu na ndoa ivunjike
Kiprotokali hiyo ni stahili yake.
Dhambi ya kuwasaliti watanazania.