simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,764
- 9,680
FOR THOSE WHO FEEL THE COUNTRY THIS IS VERY PAINFUL......
Japo nina machungu yangu dhidi ya Mzee Wetu huyu SITA na BUNGE la KATIBA kwa hili NAFEEL NI MIMI MWENYEWE, NA KAMA KAFANYIWA MTANZANIA YOYOTE YULE TOKA Magagura Songea, Mpaka Nyamongo Tarime Mara, Na kutoka Mwika Marangu Kilimanjro Mpaka Kanyigo Bukoba.
OUR FORE FATHERS WALITUACHIA TAIFA LENYE HESHIMA SANA KIMATAIFA-Mwalimu anasema mikutano ya UMOJA WA MATAIFA Mtanzania alikuwa akikaribia kuhutubia Wasikilizaji walikuwa wanasita kwenda kuvuta Sigara wanakaa kusikiliza Mtanzania huyo atasema Nini?Leo hii ni haya ya Mzee Sita.
Leo tuko hapa EAST AFRICA Mzee Sita mwakilishi wetu kawekwa kama MVAMIZI WA JAMBO LISILO MUHUSU...
DO WE NEED THEM THAN THEY NEED US!!!!..............Kama Mtanzania Nimejiona Nafasi Yangu Kwenye EAC kupitia PICHA HIYO YA SITA.
Wachina wansema A PICTURE SPEAKS A THOUSANDS WORDS............Picture hii Imeongea Maneno Maelfu Kwa Watanzania.
TULIPOFIKA ....MUNGU PANATOSHA.
Mwenye tai nyekundu na mwanamama wanawakilisha nchi zipi?
Hii picha kila nikiiangalai na nikimuangalia Mh Smuel Sitta anavyowaangalia wenzake kwa hasira baada ya kumtenga kwenye majani na kwenye kiti cha peke yake wenzake wako kwenye red carpet roho inaniuma ,kama mbwai mbwai tu na ndoa ivunjike
Sio wanatudharau. Hata wao walichukia kudharauliwa kwa kupelekewa Waziri kwenye vikao muhimu ilhali rais yupo na makamu pia yupo. Walivyoona tz wanadharau nao wakarudisha dharau. Six kwenye kiti cha mbao tena kwenye majani
kabisa mkuu nakuunga mkono tunahitaji viongozimasikini jeuri mambo ya kubembelezana kwenye masuala ya kimataifa sio jadi yetu watanzania
Alafu kiti cha Sitta mbona kiko tofauti na vya wenzake.? Hawa jamaa wanatudharau sana
Dada nyamaza
huyo mama hapo ni rais wa nchi gani?
Hivi ile jeuri ya Viongozi wa Kitanzania ambayo Mataifa makubwa yalikuwa yanaappreciate imepotelewa wapi mpaka tunadhalilishana hivi...seriously hii issue KIDPLOMASIA NI DEMAGE!!!
Ila naamini VIONGOZI wenye damu halisi ya Kitanzania Watalisemea Kwa lugha ile ile ambayo tayari Mzee Sitta ambae kwa tendo hilo alilolionyesha mbele yao,ndio tendo ambalo nami ningelionyesha ili wakiiangalia hiyo picha wanasoma ALAMA BETWEEN THE LINE.
Thanks Mzee Sitta alikuwa mwerevu kukumbuka ilo la ''SURA YA NIEMEONA MLICHOTUFANYIA AKSANTENI SANA'' ili iwe kumbukumbu ya kidplomasia na hata vizazi vyao wakija kusikia miaka mia ijayo kuwa tuliwanyika fursa ya kufanya nao biashara kwenye rasilimali nyingi tulizo nazo kila wakiiona picha hiyo, vitukuu vinachapa makaburi yao viboko kwa kuona HAWAKUTENDA SAWA kwa kuwa ushahidi utakuwa ni hizo picha.
FUNZO KWETU PIA KUWA TUNA TATIZO LA MSINGI PIA NDANI YA TAIFA.....Manake ukiona Mtu anakudharau japo si vizuri kumfanyia mtu dharau lakini ni vyema mfanyiwa dharau kuludi nyuma na kuona kwanini anafanyiwa dharau na kejeri kila siku ANAMAPUNGUFU GANI!!!wakati anafanya hayo pia anatumia nafasi hiyo KULUDISHA HESHIMA YAKE INAPOSTAHIKI.
Hii picha kila nikiiangalia na nikimuangalia Mh Samuel Sitta anavyowaangalia wenzake kwa hasira baada ya kumtenga kwenye majani na kwenye kiti cha peke yake wenzake wako kwenye red carpet roho inaniuma, kama mbwai mbwai tu na ndoa ivunjike