Picha: Samuel Sitta amenihuzunisha

Ujanja janja,unafiki unafki wafanye hapa hapa nyumbani wenzetu shule imepanda hawadanganyiki. Sita mfujaji tu, Mwapachu alikubalika sana EA.
 
Ivo waTanzania hatuwezi kujikakamua na kudai haki zetu hata katika chetu ?? Tutabakia mkia wa mwisho always !!
 
Sometimes when I say I'm okay,
I need someone to look me in the eyes,
Hug me tight, and simply say, no you are not!
 
 
Bora wangepakaa na kinyesi kabisa katika hicho kiti ili nzi wamzonge.
 


......And God created the green carpet and, behold, it was good!
WHAT IS THE PROBLEM OF BEING HONORED THE GREEN CARPET IN A PLANET DEMANDING GREEN REFORMS?
 
Kilichofanywa hapo ni sawa. Kwa kipindi ambacho Kenya wanapitia kuhusu usalama, kuonyesha mshikamano angekwenda makamu wa rais. Tumewdharau na wao wameleta majibu muafaka. Kama ni hasira ziwe na busara mkulu mgonjwa inaeleweka. Membe diplomasia gani hii?
 

sitta hata akija kijijini kwetu tutamtenga ni mnafiki xana
 
Mbona sio Samweli huyo?


Hii picha kila nikiiangalia na nikimuangalia Mh Samuel Sitta anavyowaangalia wenzake kwa hasira baada ya kumtenga kwenye majani na kwenye kiti cha peke yake wenzake wako kwenye red carpet roho inaniuma, kama mbwai mbwai tu na ndoa ivunjike
 
utawala wa kikwete ni from hero to zero,EA hawatutaki,USA kaanza kutususa ,wananchi pi hawaitaki ccm na wamemchoka JK mwenyewe Zanzibar hawataki kuwa sehemu ya bara du hatai kwelikweli
 
kwani alitumwa na nani mbona watanzania atujuwi chochote naona kama anatudharirisha tu si mnakumbuka jinsi alivyo tudharirisha kwenye bunge la katiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…