Picha: Said Fella amkabidhi zawadi ya gari Asley jana kwenye birthday yake

Nukta5

JF-Expert Member
Jun 7, 2014
1,180
1,276
Licha ya kuahidi kuwakabidhi nyumba kila mmoja kwenye kundi la Yamoto band Mkurugenzi na mwanzilishi wa Yamoto band na TMK Wanaume, Said Fella jana alimkabidhi kiongozi wa Yamoto band Aslay gari aina ya passo kwenye siku yake ya kuzaiwa.

aslem.png
 
Huu ni ujinga fella alishazoea kuwanyonya wasanii hawezi kumzawadia Passo dogo anaingiza hela hivyo alitakiwa ampe Nyumba ama Prado cyo Passo
 
Huu ni ujinga fella alishazoea kuwanyonya wasanii hawezi kumzawadia Passo dogo anaingiza hela hivyo alitakiwa ampe Nyumba ama Prado cyo Passo

Mkuu picha kumbe hujaiona, alitakiwa awe na mafanikio kama ya nani ambae hasimamiwi na fela? unataka umlinganishe na best naso au marlow kwenye mafanikio yake kwa taarifa zilizopo alishakir ana nyumba tayar na pia wote watakabidhiwa mwezi wa saba
 
Hakuna Aslay bila ya mkubwa Fella, na swala la Fella kufaidika ndo mana yake si ndio maana ya biashara asingekuwa na manufaa kwake asingemchukua hadi sisi tunamjua Aslay kuna watu ilikula kwao mwanzo na sasa wanajilipa kwa kuwekeza
 
Huu ni ujinga fella alishazoea kuwanyonya wasanii hawezi kumzawadia Passo dogo anaingiza hela hivyo alitakiwa ampe Nyumba ama Prado cyo Passo

IVi una akili wewe? Ilo prado ataingiza mkojo? Mnaona raha kutaja prado shughuli yake hamuijui
 
IVi una akili wewe? Ilo prado ataingiza mkojo? Mnaona raha kutaja prado shughuli yake hamuijui

wa ambie bana prado lile gari lioneni tu ivi oho.jide mwenyewe ana likoseaga hela ya mafuta mpaka ana pitiwa na wasani wenzake. waende kwenye mahojiano. gari ni kusema gari lakini sio habar ya prado acheni acheni ile. bakini kwene vi passo na alteza tu.
 
AHaha!! Jide anamiliki range Rover evoque, yule ni habar nyingine, sio hawa wasanii wa msondo ngoma mpaka wapige show ndio wapate pesa ya kula na mafuta ya elfu tano, jide ni level nyingine,siku ile alikuwa anataniaa hawez kukosa mafuta yule
 
Porte ndiyo gari ya ki town town sa hivi!!

kuna nyumba anaijenga ipo hatua za mwisho ipo Mbagala sijui itakuwa ndiyo moja kati ya nyumba za hao madogo!

Aslay.jpg
 
Huu ni ujinga fella alishazoea kuwanyonya wasanii hawezi kumzawadia Passo dogo anaingiza hela hivyo alitakiwa ampe Nyumba ama Prado cyo Passo

1.Mara utasikia meneja wake ufahi jitoe,amekuja na ndala anaondoka na gari,wahenga walinena tenda wema ujichenge,ruge aliniambia hii kazi nzito mie nikambwambia brother labda kwako.

2.Hajakuja na msingi leo anasema anadhulumiwa,kweli kushiba kuna matata jana kashindia kahawa leo anasema hajazoea shida??

3.Kwa masikini hakuna jema,njaa uleta maneno shibe uleta kusahau.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom