Picha: Rais Samia akiwa kwenye kiwanda cha Volkswagen nchini Rwanda

Ukiwa kiongozi lazima utukanwe, narudia Tena ukiwa kiongozi lazima utukanwe
Ukitaka usitukanwe basi Usiwe kiongozi
Kwa hiyo mama yako,ni kiongozi wa familia yenu,naye pia atukanwe?Haya mama yako ni KAHABA wa nyumbani.
 
Hivi tayari wameshayaingiza sokoni au bado yako kwenye pilot phase tu ?
 
Ukiwa kiongozi lazima utukanwe tu. Wala huwezi kukwepa na kama unaumia utaumia sana maana kadri siku zinavyoenda ndio matusi yatazidi
Ipo hivi, ikiwa kiongozi hutaki utukanwe basi achia uongozi nenda kalee wajukuu
Kwa hiyo mama yako,ni kiongozi wa nyumbani kwenu,naye pia afaa atukanwe??
 
Stick man and the Gorilla pose in front of the African assembled Chinese Volks no average African can afford in 100 years
 
..sasa rais ssh yeye katokea Znz kule hawana asili ya ufugaji.

..ukimpa ng'ombe wanaweza kwenda kufa kwasababu hana ujuzi wala mapenzi ya kufuga.

..na-suggest rais ssh apewe motokari moja toka hapo kiwandani.
Usisahau Bagamoyo kulikuwepo na ranch maalum kwa ajili ya Zanzibar. Ni swala la kuifufua tu! Tena itakuwa jirani na ya yule rais mwingine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…