hivi mtu kama Jimmy Sinclair anakufikiriaje wewe?Kapokelewa airport na waziri wa mambo ya nje? Wazungu wanatudharau hivyo. waziri mkuu au gavanaa walikuwa bize?
mimi nime-focus zaidi kuangalia hii john travolta yake anayokanyagia.inaonekana ni genuine na sio fake.hakika ametokelezea.''Mwanajeshi'' wetu mbona ''marching'' yake haiendani na hao wanajeshi wengine?.......left....right......left......... right
![]()