Muda si mrefu atapunguza au tusi muone tena Arusha maana hukumu ya kamanda Lema ni Tarehe 4.12.12 kama watamnyonga ndani ya miezi mitatu tuna mrudisha na tunafunga kwa maombi Kikwete apooze macho na mdomo...
Muda si mrefu atapunguza
au tusi muone tena Arusha maana hukumu ya kamanda Lema ni Tarehe
4.12.12 kama watamnyonga ndani ya miezi mitatu tuna mrudisha na
tunafunga kwa maombi Kikwete apooze macho na mdomo...
JK ni chaguo la Mungu, dua zote mbaya huwa hazimpati
Wewe achakutumia vibaya jina la Mungu kikwete nichaguo la wajinga kama wewe siyo Mungu
si atakufa...[/QUO
Kwani akifa anafaida gani huyu anaye ishi kia kila siku safari hazishi hakuna hata siku ameka nchini kwake au ikulu mwenzi mzima kila siku safari afe tuu hakuna shida turudie uchaguzi kuliko hizo garama za safari kila siku
JK ni chaguo la Mungu, dua zote mbaya huwa hazimpati
Ana ka mradi kake kule. Unaifahamu Bilila lodge?Kweli RAIS wetu ANAPAPENDA ARUSHA...
Kweli RAIS wetu ANAPAPENDA ARUSHA...
Acha kuwa mjinga wewe! Nani kakuambia JK ni chaguo la MUNGU! Acheni kumsingizia MUNGU mambo ambayo hajafanya yeye. JK alichaguliwa na Watanzania wachache mambumbumbu na kura zingine alichakachua. Watanzania wengi wenye akili zao timamu hawakumchagua Rais Dhaifu kama JK! MUNGU hakupiga kura kumchagua Mr. Dhaifu. Tusidanganyane!JK ni chaguo la Mungu, dua zote mbaya huwa hazimpati