PICHA: Rais Kikwete JIJINI ARUSHA TENA; AFUNGUA MKUTANO WA MABENKI

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
TUESDAY, NOVEMBER 27, 2012

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA MABENKI JIJINI


ARUSHA HIVI SASA



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano mkuu wa mabenki yote 49 yaliopo hapa nchini,unaendelea hivi sasa katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa (AICC) jijini Arusha.Mkutano huu ni Muendelezo na utaratibu wa Kukutana kila Baada ya Miaka miwili kwa Mabenki yote hapa nchini.

TUESDAY, NOVEMBER 27, 2012 ~ COPYRIGHT: MICHUZI BLOG








 
Ajinafasi kwa raha zake lengo lake si lilishatimia?yaani wahenga hawakukosea,ni heri mchawi kuliko mnafiki....
 
Muda si mrefu atapunguza au tusi muone tena Arusha maana hukumu ya kamanda Lema ni Tarehe 4.12.12 kama watamnyonga ndani ya miezi mitatu tuna mrudisha na tunafunga kwa maombi Kikwete apooze macho na mdomo...
 
Muda si mrefu atapunguza au tusi muone tena Arusha maana hukumu ya kamanda Lema ni Tarehe 4.12.12 kama watamnyonga ndani ya miezi mitatu tuna mrudisha na tunafunga kwa maombi Kikwete apooze macho na mdomo...


JK ni chaguo la Mungu, dua zote mbaya huwa hazimpati
 
Muda si mrefu atapunguza
au tusi muone tena Arusha maana hukumu ya kamanda Lema ni Tarehe
4.12.12 kama watamnyonga ndani ya miezi mitatu tuna mrudisha na
tunafunga kwa maombi Kikwete apooze macho na mdomo...

si atakufa...
 
si atakufa...[/QUO
Kwani akifa anafaida gani huyu anaye ishi kia kila siku safari hazishi hakuna hata siku ameka nchini kwake au ikulu mwenzi mzima kila siku safari afe tuu hakuna shida turudie uchaguzi kuliko hizo garama za safari kila siku
 
Kweli RAIS wetu ANAPAPENDA ARUSHA...

Na wiki ijayo anakuja ena kufungua jengo la EAC na barabara ya arusha Namanga na baada ya hapo ataenda Kenya kufungua Barabaraba ya Namanga Ath river pamoja na kuudhuria mkutano
 
JK ni chaguo la Mungu, dua zote mbaya huwa hazimpati
Acha kuwa mjinga wewe! Nani kakuambia JK ni chaguo la MUNGU! Acheni kumsingizia MUNGU mambo ambayo hajafanya yeye. JK alichaguliwa na Watanzania wachache mambumbumbu na kura zingine alichakachua. Watanzania wengi wenye akili zao timamu hawakumchagua Rais Dhaifu kama JK! MUNGU hakupiga kura kumchagua Mr. Dhaifu. Tusidanganyane!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom