Picha: Nyumba kali ya Mwl Mkuu Itilima; ''Mama hatumdai''

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,026
Reaction score
2,106
IMG_7502.jpeg
IMG_7503.jpeg

Nyumba ya Mwalimu Mkuu, Shule ya Msingi Dasina, Kata ya Nkoma, Jimbo la Itilima Mkoa wa Simiyu.

Hakika Mama Hatumdai ila yeye ndio anaeyetudai..
 
View attachment 3374869View attachment 3374870

Nyumba ya Mwalimu Mkuu, Shule ya Msingi Dasina, Kata ya Nkoma, Jimbo la Itilima Mkoa wa Simiyu.

Hakika Mama Hatumdai ila yeye ndio anae Tudai..
Tukosoe kwa hoja si kishabiki

Mwalimu akiishi kwenye nyumba kama hiyo, ni upumbavu wake

Hata wapishi wa shule hawaishi kwenye kibanda kama hicho

Hela ya posho anayopewa 250k pekee akiamua awekeze miaka miwili tu anapata sehemu nzuri ya kujistiri kwa maisha ya kijijini

Pia ana fursa ya mikopo

Tumkosoe SSM kwa mengine ila sio hilo
 
Sio kosa lako
 
Katika haya maisha kuna siku utakumbuka umuhimu wa serikali kutumia hela za walipa kodi kwa haki. Wapi waliowahi kuwa mawaziri leo hii wanalia ana kusaga meno wanadharauliwa kwa kuwa zama zao zimeshapita. Siku zama zako zikishapita ndio utaamka na kuja kutetea lakini itakuwa tayari umeshachelewa.
 
Aiseee! Kazi kweli kweli hatumdai kabisa
 
Back
Top Bottom