Picha: Norah ajikumbushia enzi zake

Picha: Norah ajikumbushia enzi zake

Hivi ndo alisema GPL wanamfatilia ndo wakampotezea mazima.

Sintah alikuwa na bifu zito na shigongo, yan ni story ndefu mpaka hayo mambo ya shigongo kuwa ananunua mashoga yakaanikwa, yani mjin rahaaa
 
Mhhhhh! Binamu yule mtu si mchungaji sijui mlokole?
Hata hivyo umeleta hiyo habari hizi comments zitafutwa muda si mrefu.
 
Sintah alikuwa na bifu zito na shigongo, yan ni story ndefu mpaka hayo mambo ya shigongo kuwa ananunua mashoga yakaanikwa, yani mjin rahaaa

Kah kumbe walikua na bifu kubwa kiasi hcho nakumbuka walikua wana muandika daily na ile issue ya James Ndandu kupga picha za mahaba.
Hilo la bifu naskia kwako.
 
Uliza binamu mjini apa, isssue yao ni kubwa kidogo, ndio maana bibie kapotezewa, unakumbuka kipindi kile cha marehemu amina chifupa? Maana shigongo nae alikuwa ana bifu nae, ndo mapya yakaibuka mjini loh binadamu wabaya nyie
 
Kuna picha yake maarufu ilisambaa sana kwenye simu wakati ule ile aliyoleweshwa na jamaa halafu akapigwa picha uchi kitandani akiwa hajitambui
Kumbe ile ilikuwa ni mchongo ili jamaa wauze gazeti lao la udaku ambao ndio hao hao waliokuwa wamiliki wa hiyo hotel na walikuwa wamefunga camera za siri kwenye vyumba vya wateja
 
Sintah alikuwa na bifu zito na shigongo, yan ni story ndefu mpaka hayo mambo ya shigongo kuwa ananunua mashoga yakaanikwa, yani mjin rahaaa

naikumbuka sana hiii
shigongo hana usafi wowote yule
mshenzi wa washenzi...
 
Kila kitu kina enzi zake Now habari ni Wema ....wema.. kwa mbali Aunty nao watapiga kelele wee watachoka watatulia.
Ngoja ubibi unukie.
 
besta tangu marlow amuoe imekuwa historia,mtoto alikuwa na ushepu yule kama Wellu sengo hivi mshepu wake!!

tatizo basta reception haikuwa kali, labda sasa kama anajisiliba na hizi make-up

Kuna wakati nilikuwaga najaribu kuimagine what if tukiweka kichwa cha uwoya kwenye kiwiliwili cha besta
 
Hivi kumbe huwa wakiandikwa kwenye magazeti wanayachukua na kuyahifadhi???!!!
 
tatizo basta reception haikuwa kali, labda sasa kama anajisiliba na hizi make-up

Kuna wakati nilikuwaga najaribu kuimagine what if tukiweka kichwa cha uwoya kwenye kiwiliwili cha besta

Best alikua na nyimbo zuri na kiuno matata na shape nzuri ila reception tu ndo ilikua ya kawaida.
 
tatizo basta reception haikuwa kali, labda sasa kama anajisiliba na hizi make-up

Kuna wakati nilikuwaga najaribu kuimagine what if tukiweka kichwa cha uwoya kwenye kiwiliwili cha besta

Sasa hivi besta amezaa ametoka na kitambi na minyama uzembe kibao,aende tu zoezi maana !
 
Mmmh hapo sasa najua hadi ta.....ko halionekani kama zamani, lishamezwa na mtumbo na hiyo minyama uzembe yake. Mnajisahauga sana mkishaolewa, mwili mnauachia mnaridhikaaaa looh
 
Back
Top Bottom