ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,850
Sauti yake ilikuwa nzuri balaa akiwa anaongea kama yupo nje ya nyumba na ww upo ndani lazima utatoka kumuangalia ni nani! ?hop sauti bado ipo haijazeeka
Huyu alipigwa picha anapigwa miti gesti sinza na kondomu ziko pembeni !
Mi mwenyewe nilikuwa namuona mbabe balaa, nikawa najisemea huyu mimi ni big No hata nikipewa na ghorofa juu
yap alisomaga uganda na besta km sikosei
mi nampenda kwa sasa anajituma hategemei mabwana aishi
Hebu acheni hizo jamani, mwanamke kua mbabe havina mahusiano na mapenzi maana kama mimi nifah ukiniona huku JF utaogopa ila mambo yangu anayajua.......!
Hahahahabaa
Huyu mbea mwenzetu mwenzangu, ahahah mwambie tunampenda, aje tujipige maselfies
Aaaah we mbona hata humu tu unaonyesha siyo mbabe bana, ujue hata kupita michango ya humu tu unawezawajua, mfano madam B, kongosho, BADILI TABIA, pretta (ila usiwaite ndg yangu wasije wakanirarua looh)
Vile vile hata kuigiza kunaonyesha yupi mbabe, mfano norah, johari wala si wababe. Kwahiyo hata ukiwachezesha nafasi za kibabe bado watapwaya tu, hawawezi kumfikia Nina
Na bahati kaolewa na mwenye nazo ndo maana hawezi kuonyesha ubabe wake waziwazi, angepata wa kawaida tu weeee!!
Ahahah kwa nn mkuu?
Ivi nyaso yupo? Yule mdada aliyekuwa anaigiza kama teja, nilikutana nae mwaka juzi chuo cha uandishi wa habar, jaman alikuwa mzuri yule aiseeh