Picha: Norah ajikumbushia enzi zake

Picha: Norah ajikumbushia enzi zake

Mmmh hapo sasa najua hadi ta.....ko halionekani kama zamani, lishamezwa na mtumbo na hiyo minyama uzembe yake. Mnajisahauga sana mkishaolewa, mwili mnauachia mnaridhikaaaa looh

Mhhhhhh! Hiki kichambo balaa, ila mimi sipo hapo kwakweli...
Wembamba raha sana.
 
Kula like laki nane... kama huna mtako wa mchina na hujui.kupiga vitaulo igiza chumbani kwako maana hutakaa utoke! siku hizi kuuza sura ndo kuigiza kwenyewe..

Yani eti wenye makalio ya kichina na wanaojichibua eti ndo ma actors na actress yani hawajui kuigiza zaidi ya kuuza sura ili wapate wa kuwahonga mfyuuuu zao. Mi bongo movie siangaliaga siku hizi.
Hawana new idea hata watunga story hawajui full Ku bore.
 
Mmmh hapo sasa najua hadi ta.....ko halionekani kama zamani, lishamezwa na mtumbo na hiyo minyama uzembe yake. Mnajisahauga sana mkishaolewa, mwili mnauachia mnaridhikaaaa looh

kabisa!shepu ile sasa hivi haionekani ila ndio hivyo tukishazaa tu majukum yanaongezeka,mume anakutegemea wewe,mtoto,kazini uende,mambo mengi mpaka muda wa zoezi unakosa

Tunaridhika kwasababu ndoa tamu sana,huangahiki kuvizia mabwana za watu wala baridi huisikii labda utake mwenyewe!ahahaa,kwanini usinenepe wakati kuna mtu amebeba shida zako zote??!
 
Inaonekama amebadilika umbo lake..lakini bado ni mzuri wa kutamaniwa
 
Hahahahahahaa, binamu wewe ni kiboko! Na kweli watilisha sana enzi hizo, sintah nae na Juma Nature wake...

Sintah aliingia na gea ya kutangaza kuwa na bikra , wasukuma wauza samaki wakajazana Dar kutaka kuoa , wanafika mwanza akapigwa gari moja hivi iliyokuwa kwenye chati kwa kufungua mbawa, kama ya Ben Kinyaia sijui inaitwa corsa, baadaye wakagundua ilikuwa ni utapeli, Juma nature akatangaza nia kumbe nyuki walishakunywa asali yooooote!!! Hupo hapo Nifah!!! Yaani watu waliaangaikia bikra kama wanataka kuchimba almas yehee
 
Duh Nina atakua amezidi.kuwa mzuriiii wadada walikuwa wanatamba kweli.. enzi za handsome Dr. Cheni enzi hizo phd ndio yuko darasa la pili... :-

Ahahah ila cheni mpaka sasa bado ni handsome, maana kipindi kile kulikuwa hamna instagram wala ma filter, ila sasa ivi kila mtu handsome
 
Mhhhhhh! Hiki kichambo balaa, ila mimi sipo hapo kwakweli...
Wembamba raha sana.

Haaaaaaaa nisamehe bure best, sikujua kama utapasoma aisee!!!

Ila kuna ukweli nifah, wengi wenu mnajiachiaga sana bana, halafu ndo ukute mume kama mimi najisikia vibaya kukwambia fanya mazoezi, nahisi utajisikia vibaya!!
 
Last edited by a moderator:
kabisa!shepu ile sasa hivi haionekani ila ndio hivyo tukishazaa tu majukum yanaongezeka,mume anakutegemea wewe,mtoto,kazini uende,mambo mengi mpaka muda wa zoezi unakosa

Tunaridhika kwasababu ndoa tamu sana,huangahiki kuvizia mabwana za watu wala baridi huisikii labda utake mwenyewe!ahahaa,kwanini usinenepe wakati kuna mtu amebeba shida zako zote??!

Khaaaaa, haya bwana!! kwa raha zenu!!! sina cha kuuliza tena kwa kweli, manake umemwaga kila kitu. nifah njoo huku umsome Kimbley
 
Sintah aliingia na gea ya kutangaza kuwa na bikra , wasukuma wauza samaki wakajazana Dar kutaka kuoa , wanafika mwanza akapigwa gari moja hivi iliyokuwa kwenye chati kwa kufungua mbawa, kama ya Ben Kinyaia sijui inaitwa corsa, baadaye wakagundua ilikuwa ni utapeli, Juma nature akatangaza nia kumbe nyuki walishakunywa asali yooooote!!! Hupo hapo Nifah!!! Yaani watu waliaangaikia bikra kama wanataka kuchimba almas yehee

Hahahahahaaa, umenivunja mbavu kwa hao wasukuma wauza samaki balaa.
Hivi baba yake si mvuvi pia?
 
Khaaaaa, haya bwana!! kwa raha zenu!!! sina cha kuuliza tena kwa kweli, manake umemwaga kila kitu. nifah njoo huku umsome Kimbley

Nimepasoma best ila kila mtu na lifestyle yake.
Kama mimi najua mahabuba wangu hapendi minyama hivyo sijiendekezi, actually hata mimi sipendi ubonge nyanya, na asili nayo inachangia (wembamba). nifah ni super model you know? Hahahahaaaa
 
Last edited by a moderator:
Haaaaaaaa nisamehe bure best, sikujua kama utapasoma aisee!!!

Ila kuna ukweli nifah, wengi wenu mnajiachiaga sana bana, halafu ndo ukute mume kama mimi najisikia vibaya kukwambia fanya mazoezi, nahisi utajisikia vibaya!!

Hapo sasa ndipo mnapokosea? Atajisikia vipi vibaya ilhali unamuambia ukweli?
Kipi bora kati ya kuchapiwa au kuambiwa ukweli? Mimi napenda kuambiwa ukweli hata kama unauma, sio sawa na kudanganywa ili nifurahi.
 
Last edited by a moderator:
Nimepasoma best ila kila mtu na lifestyle yake.
Kama mimi najua mahabuba wangu hapendi minyama hivyo sijiendekezi, actually hata mimi sipendi ubonge nyanya, na asili nayo inachangia (wembamba). nifah ni super model you know? Hahahahaaaa

Haaaaaaa haya bwana, sifa jipe mwenyewe usisubiri kusifiwa!! kila la kheri best kwa raha zako!!!

Bora wewe uligundua Mr wako hapendi ubonge nyanya na ukafuata, sasa pata picha wetu ndo hao wenye mawazo kama ya Kimbley utafanyaje sasa kama siyo unalazimishwa kuvumilia huo ubonge nyanya wake
 
Last edited by a moderator:
Hapo sasa ndipo mnapokosea? Atajisikia vipi vibaya ilhali unamuambia ukweli?
Kipi bora kati ya kuchapiwa au kuambiwa ukweli? Mimi napenda kuambiwa ukweli hata kama unauma, sio sawa na kudanganywa ili nifurahi.

We alikwambia ukweli best? au ulimsoma mwenyewe ktk maongezi yenu
 
Haaaaaaa haya bwana, sifa jipe mwenyewe usisubiri kusifiwa!! kila la kheri best kwa raha zako!!!

Bora wewe uligundua Mr wako hapendi ubonge nyanya na ukafuata, sasa pata picha wetu ndo hao wenye mawazo kama ya Kimbley utafanyaje sasa kama siyo unalazimishwa kuvumilia huo ubonge nyanya wake

ahahaha!!mimi sipendi na wala sio bonge nyanya ila siwezi kumlaumu mwanamke bonge nyanya ambae ameolewa na ana amani na ndoa yake,kuna watu wengine wakifanya mazoezi ndio kwanza wananenepa,hata akifanya diet bado hawezi rudia shepu yake ya mwanzo,wacha tuwe mabonge banaaah!!mmebeba shida zetu zote kuanzia Chumbani mpaka nje kwanini tusiwe mabonge?ahaha(kidding)

BTW hongereni sana wanaume kwa kututunza,tunaolewa tukiwa wembambaaa ila nikija kwako mwaka mmoja tu nafanana na tembo!halafu nyie wala hamna jema,niwe mwembamba utachepuka!niwe bonge utachepuka!niwe mzuri kama malaika bado tu utachepuka!aaargh wacha tuwafaidi bwana mmeumbwa kwa ajili yetu!😀😀😀 mito
 
Last edited by a moderator:
Dahhh kweli maisha kupanda na kushuka

so leo norah.ni wa buku mbili??? 😕

hata akipost insta anapata likes kiduchuuu
 
ahahaha!!mimi sipendi na wala sio bonge nyanya ila siwezi kumlaumu mwanamke bonge nyanya ambae ameolewa na ana amani na ndoa yake,kuna watu wengine wakifanya mazoezi ndio kwanza wananenepa,hata akifanya diet bado hawezi rudia shepu yake ya mwanzo,wacha tuwe mabonge banaaah!!mmebeba shida zetu zote kuanzia Chumbani mpaka nje kwanini tusiwe mabonge?ahaha(kidding)

BTW hongereni sana wanaume kwa kututunza,tunaolewa tukiwa wembambaaa ila nikija kwako mwaka mmoja tu nafanana na tembo!halafu nyie wala hamna jema,niwe mwembamba utachepuka!niwe bonge utachepuka!niwe mzuri kama malaika bado tu utachepuka!aaargh wacha tuwafaidi bwana mmeumbwa kwa ajili yetu!😀😀😀 mito

Aaaaah we kuanzia leo sikusemi tena aisee, unavyotufagilia hivi, akyanani!!! unaonekana unajua thamani yetu hasa!

Ila hongeza zako kwa kutuelewa, we safi sana huwezi pata presha kwa ajili ya mume, unatuelewa sana!!
 
Haaaaaaa haya bwana, sifa jipe mwenyewe usisubiri kusifiwa!! kila la kheri best kwa raha zako!!!

Bora wewe uligundua Mr wako hapendi ubonge nyanya na ukafuata, sasa pata picha wetu ndo hao wenye mawazo kama ya Kimbley utafanyaje sasa kama siyo unalazimishwa kuvumilia huo ubonge nyanya wake

You can't be serious mito! Nitaacha vipi kuyajua anayopenda/asiyopenda La Aziz wangu?
Yote nayajua ndio maana sitoki kwenye mstari.

Ila wewe unanichimba sana, sikuambii chochote tena ng'oooo!
 
Last edited by a moderator:
You can't be serious mito! Nitaacha vipi kuyajua anayopenda/asiyopenda La Aziz wangu?
Yote nayajua ndio maana sitoki kwenye mstari.

Ila wewe unanichimba sana, sikuambii chochote tena ng'oooo!

Haya best, ngoja niache kukuchimba chimba basi, siongei tenaaaaa!!!
 
aaaaah we kuanzia leo sikusemi tena aisee, unavyotufagilia hivi, akyanani!!! Unaonekana unajua thamani yetu hasa!

Ila hongeza zako kwa kutuelewa, we safi sana huwezi pata presha kwa ajili ya mume, unatuelewa sana!!

Nyie ndio mhimili wetu banah!zingine mbwembwe tu za kibinaadamu
 
Back
Top Bottom