Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,295
Ila naona kama walishindwa kutumia fursa, mamake sidhani kama wametoka kimaisha
Na ndo kosa walilo lifanya wote kutokujiendeleza kimaisha waka fulia. Sintah yeye ilikua kuhangaika na kujiita eti Jlo wa bongo na kufukuzana na Juma nature.
Hata wasanii wengi wa sasa wanadhindwa kutumia umaarufu kutafta pesa matokeo umaarufu ukiisha wanakua choko.