Picha: Norah ajikumbushia enzi zake

Picha: Norah ajikumbushia enzi zake

Ahaha huyo akijaga ananifuraisha yan anakuja na mabomu tu, ye hanaga maneno mengi

Hahahahaa, Kigogo ni kiboko kwakweli, ngoja tu tumuingize kwenye group la wambea...
 
Last edited by a moderator:
Ashabaki na magazetiii Tu kumbe wanapenda kuandikwa eeee
 
Sasa ivi kabaki na magazeti yake mwenyew ,anatiaje huruma, aya maisha aya, enzi izo yeye na sintah ndo madada duu wa ukweli apa town, ila sema sintah na norah ni wazur mpaka kesho, hawana mpinzani

Kwa nora atleast anajitahidi kumaintain, Sintah hapana full lijimama@warumi.
 
yap alisomaga uganda na besta km sikosei

mi nampenda kwa sasa anajituma hategemei mabwana aishi

besta tangu marlow amuoe imekuwa historia,mtoto alikuwa na ushepu yule kama Wellu sengo hivi mshepu wake!!
 
Na ndo kosa walilo lifanya wote kutokujiendeleza kimaisha waka fulia. Sintah yeye ilikua kuhangaika na kujiita eti Jlo wa bongo na kufukuzana na Juma nature.
Hata wasanii wengi wa sasa wanadhindwa kutumia umaarufu kutafta pesa matokeo umaarufu ukiisha wanakua choko.

Na masumu juu eti anafatiliwa na GPL (sintah) lol!
 
Ashabaki na magazetiii Tu kumbe wanapenda kuandikwa eeee

Tena!!mi mwenyewe nina mpango wa kuingia bongo movie soon!Nimeshachonga na JB tayari kila kitu kiko mswano,nikishatoka tu nakupm.ahahahaha!!
 
Sasa ivi wamebaki na uzuri wao tu, washukur mungu enzi izo akina dallas na CK walikuwa bado hawajaja mjini, maana wangechakazwa na izo sura zao zingefubaa, ila bahat nzuri wamebak na uzuri wao

Labda umseme Dallas Meddy Mpakanjia ni mtoto wa Temeke mama yake mzazi ni mwalimu wangu wa nursery school Wiles late 70's.

Sema Ck yeye alikuwa ni mpenzi wa sikinde na Tot plus ndio maana wengi hamkumjuwa alikuwa anaitwa kitendawili.
 
Tena!!mi mwenyewe nina mpango wa kuingia bongo movie soon!Nimeshachonga na JB tayari kila kitu kiko mswano,nikishatoka tu nakupm.ahahahaha!!


hayaa utaniambiaaa eee
 
Back
Top Bottom