Nilikutana nae anasukuma prado kawa mzuri hatar, bora aachane na bongo mavi maana enz zao ilikuwa hailip
Alikuwa ana swaga flan ivi za kibabe, nae alikuwa kisu, nilipenda kwenye filamu ya girlfriend alivyompa kichapo cha mwizi monalisa
Alikuwa anamfikia Clement au marehemu secky kwa kuhonga? Akina nora enzi zao sisdhan kama walikuwa wanahongwa magar wale
Mi Nina nikikutana naye sahv sidhan kama ntaweza kumkumbuka. Nyamayao nilimuona kwenye kipindi cha Mboni sikuhizi kawa mweupe
Nimefungua mafail yote nilioweka na kuvuta picha yake, napata picha ya mtoto mmoja aliekuwa Brown hivi, jicho la ashk mwembamb kidizain, ila angepata inyee ingekuw habari ingine....Scene za ubabe na drug dealerz zilimfaa sana
Yap ndo huyo hyo, ana jicho flan iv amazing, na yupo makini sana, sio ----- ----- yule, sijui imekuwaje kaolewa, maana alikuwa mbabe hatar
Ila hakua masikini binamu, hii story nilipewa na ndugu yake basi tu nisiseme sana....si unajua mambo ya fake id's?
Nina mambo safi sasa ivi, sijui anafanya ishu gani, juzi nilimuona kweny folen anasukuma prado nyeupe halaf kawa mzuri zaidi
Sasa ivi kabaki na magazeti yake mwenyew ,anatiaje huruma, aya maisha aya, enzi izo yeye na sintah ndo madada duu wa ukweli apa town, ila sema sintah na norah ni wazur mpaka kesho, hawana mpinzani
Ila wale bado sura zinalipa, nilipendag collaboration ya nora na johar kwenye movie ya mtitu ya dangerous desire, walikimbiza sana wale
Kila jambo na zama zake na wakati wake. Yeye na Sintah walitishaga mno enzi zao.
Jamani hawachuji hawa watu hafu umenikumbusha movie ya dangerous desire hadi shule ikaletaga msamiati wa mshika pembe mweeh.
Yani kuanzia Nora Johari sintah mvuto wao hachuji tofauti na hawa Bongo movie.
Ila naona kama walishindwa kutumia fursa, mamake sidhani kama wametoka kimaisha