"Mie navyoelewa", Asante kwa kuja. Jion njemaHatuna haja ya kukashifu na kupondea fulani kwasababu mie navyoelewa uwepo wa ndege nyingi tena za ukubwa tofauti ni faida kwetu sie wananchi. Naombea ziendelee kuja za aina zote ili kila mpandanji achague mwenyewe kulingana na utashi wake
Tusiwe kama hatukwenda shule ama sote tuna uwezo sawa.
Na ndo uzuri wa soko huru, waachwe washindane huku sie raia tukifaidi ushindani huu ...ni jambo zuri kwetu abiria kila mtu atachagua kulingana na uwezo wakeSijui kama biashara kuyumba ni sababu ya kubadili ndege kutoka A319 mpk E190,mi naona jamaa wanajiandaa kimkabili 'mapanga shaaa' a.k.a ATCL maana hizo ndege za sasa za fastjet A319 zinatua viwanja 4 tu Dar,mwanza,Kilimanjaro na mbeya(songwe),ila hizo E 190 zinaweza kwenda Bukoba,Arusha,Mtwara,Tabora,Kigoma,Musoma na Dodoma kwahiyo mapanga shaa wajiandae.
Karibu!"Mie navyoelewa", Asante kwa kuja. Jion njema
Sijui kama biashara kuyumba ni sababu ya kubadili ndege kutoka A319 mpk E190,mi naona jamaa wanajiandaa kimkabili 'mapanga shaaa' a.k.a ATCL maana hizo ndege za sasa za fastjet A319 zinatua viwanja 4 tu Dar,mwanza,Kilimanjaro na mbeya(songwe),ila hizo E 190 zinaweza kwenda Bukoba,Arusha,Mtwara,Tabora,Kigoma,Musoma na Dodoma kwahiyo mapanga shaa wajiandae.
Magu atatengua leseni yao ya biashara,Fastjet mnachotaka kufanya Mungu anawaona. Ma Magu pia
Unathamini hata cha hovyo?Sidhani hata kama hata anajua hizo ndege. Atakuwa amesikia watu wanaponda na yeye amejiunga nao as long ni wa chama kimoja. Watanzania sijui lini tutaanza kuthamini vitu vyetu.
Watafute mtu kutoka makampuni/ mashirika yaliofanikiwa kibiashara.Kwa hiyo ulitaka awe nani pale labda?
Hebu nitajie moja wapo ya Maslahi ...ya Taifa aliyofanya au kununua Ndege!,,,inamsaidia nini Mama mjamzito anaenguka kwenye Kitanda Hospital au hata hiyo hujui....Mimi siyo ccm na wala sijawahi kuwa ccm ila upinzani kwa raisi huyu inabidi mjipange. Kwasababu yupo makini na anafanya mambo kwa maslahi ya taifa.
Hao unaotaka waje kuendesha hiyo Management wanavaa maguo ya Kijani?Magufuli hajui
Mbarawa hajui..
ATCL hawajui....
Masuala ya 'efficiency sisi watu weusi ni kama sio utamaduni wetu
Magufuli angekuwa serious angeleta wazungu kuiendesha hiyo ATCL
Hongereni sana Fastjet, nyinyi ni wafanyabiashara kabisa. Na ndivyo inavyopaswa. Fastjet wanabadilika kulingana na Mazingira, Nyakati na Mahitaji.
ATCL kamwe wasijaribu kuwaiga Fastjet katika mikakati yao, kwa sababu..
1/Fastjet hapa Tanzania ni sehemu tu ya Fastjet "international" ambayo iko katika nchi kadhaa Afrika, Ulaya nk. Wana mtaji mkubwa, wana uzoefu wa biashara hiyo katika kona tofauti, wana link pana sana na makampuni mengine ya Ndege duniani.
2/Wakati wowote biashara ikiyumba hapa Tanzania, Fastjet wanaweza kuondoka na kwenda nchi nyingine kufanya biashara pasipo kutikisika kwa mtaji wao wa kibiashara.
3/Wakati wowote ule, Fastjet wanaweza kuongeza ndege au Kupunguza, kubadilisha aina ya ndege zao au kuboresha huduma ndani ya ndege zao pasipo kuathirika kimtaji, kwa sababu kampuni mama ya Fastjet iko katika nchi nyingi tena ikiwa na utitiri wa ndege.
Hizi siasa zimetupeleka mbali sana, cha nyumbani hatukijui kabisa, mkuu hizi nguvu ungetumia kusifia cha kwako nadhani tungekuwa mbali. Pole.Naam, ndege imeenda shule hii. Kitu kimetulia. Ni jet engine. Yale mapanga shaaaa hata kwa bure sipandi.
Chanjo hakuna nkHebu nitajie moja wapo ya Maslahi ...ya Taifa aliyofanya au kununua Ndege!,,,inamsaidia nini Mama mjamzito anaenguka kwenye Kitanda Hospital au hata hiyo hujui....
Watu wanadhani watanganyika wote ni maBWEGEChanjo hakuna nk
HIVI BABA NA MAMA YAKO WALISHAWAI PANDA NDEGE?Prof.Mbarawa atajitokeza sasa hivi kuja kuonyesha ubora wa "mapanga shaa" na hizi ndege..Awamu hii kwa kukanusha hawajambo
Interesting.....
tuone 'mapanga shaa' na hizi nani zaidi
Bora wangeagiza kama hizi sio mapanga shaa
Sitashangaa nikisikia ndege mpya zimepangwa zibebe wajumbe wa CCM kuwapeleka Dodoma.
Wanakata route kwasababu ya 'memo' toka mamlaka ya juu.
KICHWA MAJI WEWE LEO MMESAHAU FAST JET ILIPOSEMA INAKABILIANA NA HALI YA UCHUMI NDIO MAANA WAKANUNUA NDEGE HIZO...MKACHONGA MIDOMO KAMA VINGEDERE NAKUSEMA MAGUFULI NDIO CHANZO? LEO HII UNASEMA TUSIWAAMINI FAST JET?Usiamini sana kampuni inaposema imepata hasara mana huwa wanafanya hivyo wapate huruma ya kodi