M2mwembamba
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 2,491
- 1,097
Ngoma inogile
Sidhani hata kama hata anajua hizo ndege. Atakuwa amesikia watu wanaponda na yeye amejiunga nao as long ni wa chama kimoja. Watanzania sijui lini tutaanza kuthamini vitu vyetu.
Mapanga shaa wameanza vizuri sana kama tu watakuwa na system nzuri ya kibiashara na kila mmoja akawajibika kwa nafasi yake na kuweka mazoea pembeni.
Tunasahau kuwa Fastjet wameamua kuleta ndege ndogo baada ya "kulost".
Huu ni ushahidi kuwa ndege kubwa hazifai kwa safari fupi za ndani.
Na huu ni ushahidi dhidi ya wale waliokuwa wanalilia "tungenunua airbus kama za fastjet".
Ni lazima sasa kundi hilo likiri kua walipotoka. Na kuwa ndege ndogo na za kati ndo mpango mzima kwa safaei za ndani na sio zile kubwa.
Hata precission walichemsha na ile jet yao mapema sana.
Na vile vile kuna mashirika mengi sana ya ndege yanarusha hayo "mapanga shaa" na wabongo wanapanda...lakini kwa kuwa ni cha serikali ishakuwa nongwa...watu hao hao wanapanda panga shaa la ethiopiana kwa tabasam na raha tele na wanashuka JKNIA kwa swagger....lakini ya serikali matusi..
Na precission kila walivyokuwa wanaongeza "mapanga" mapya tuliwasifu sana.....na nyuzi ziko hapa jukwaani. Watu hao hao leo matusi yake hayasemeki kama vile kununua "mapanga" ni dhambi kubwa.
Tuache unafiki na tubadilike.
Maswala yangu yanayonipa wasiwasi ni ishu za menejiment ya ile kampuni...kampuni iliyooza, je kampuni ile itaweza?
The Boss nakupa changamoto, Emirates ni kampuni ya ndege maarufu sana....je unajua ilianza na ndege ngapi miaka ya 80?
Menejiment na weledi wa biashara. Hili jambo sisikii likiongelewa. Tunatukana ndege weeee...hata ukipewa airbus mpya 100 kama huna menejiment nzuri utachemsha ndani ya miaka 5.
Tunavyoanza kujenga nchi, kujenga uchumi tujielekeze kwenye viopaumbele halisi..na sio chuki kwa serikali pekee.
Umeongea mkuuKwa kauli hizi inainekana ata ndege kupanda ni mpaka upate offer...kwani precision wanatumia ndege gani..mbona watu wanapanda ili hali nauli zao zipo juu...
Hao unaowataja walianzia wap kuwa na akililiCv yake ina kipi cha maana, yan mtu alikua branch manager anaaenda kuwa acting CEO wa shirika kubwa kama TTCL...unadhani makampun makubwa kama vodacom, airtel na tigo wanavyoleta watu waliobobea kuja kua wakurugenz wa makampun yao ni wajinga..?
Achana na vidole viwiliUkiwaambia wanakuja juu kama mbogo, sijui nani anawadanganya
Maoni yanapokelewa Mkuu, ukizingatia serikali yetu ni sikivu.Kama serikali kuu tu haina hiyo system ATCL wataanzia wapi?
dawa ilikuwa kuleta European management....
kama zinavyo faya nchi za kiarabu
Akili ndogo....ushawahi kupanda ndege safari za ndani ??au unaongea tuuuHivi ile ya kwetu inaredio hata ya flash?
Hahahahahahaha huyo mtu kanifurahisha, mapnga shaaa shaaa, hata me sipandiKwa kauli hizi inainekana ata ndege kupanda ni mpaka upate offer...kwani precision wanatumia ndege gani..mbona watu wanapanda ili hali nauli zao zipo juu...
Huu ni uchocheziInteresting.....
tuone 'mapanga shaa' na hizi nani zaidi
Hatuna haja ya kukashifu na kupondea fulani kwasababu mie navyoelewa uwepo wa ndege nyingi tena za ukubwa tofauti ni faida kwetu sie wananchi. Naombea ziendelee kuja za aina zote ili kila mpandanji achague mwenyewe kulingana na utashi wakeHao ni vimeo tu wali cancel safari za route ya Kia- Mwanza sijui ndo nini walifanya sasa