PICHA: Namna Spika wa Bunge la Cuba anavyofanana na M|Kiti Steven Wassira

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2020
Posts
3,579
Reaction score
2,906
WASIRA AZUNGUMZA NA SPIKA WA JAMHURI YA CUBA, OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA.*

IMG-20250306-WA0056(1).jpg

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara), Ndg. Stephen Wassira amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Taifa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Cuba Esteban Lazo Hernandez na ujumbe wake waliofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba, Dar es Salaam leo Machi 6, 2025.

Katika mazungumzo viongozi hao waliahidi kuendeleza ushirikiano wa kihistoria kati Chama Cha Mapinduzi na Chama cha Kikomunisti cha Cuba, pamoja na Tanzania na Cuba.
IMG-20250306-WA0050.jpg
 
WASIRA AZUNGUMZA NA SPIKA WA JAMHURI YA CUBA, OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA.*

View attachment 3261969
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara), Ndg. Stephen Wassira amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Taifa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Cuba Esteban Lazo Hernandez na ujumbe wake waliofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba, Dar es Salaam leo Machi 6, 2025.

Katika mazungumzo viongozi hao waliahidi kuendeleza ushirikiano wa kihistoria kati Chama Cha Mapinduzi na Chama cha Kikomunisti cha Cuba, pamoja na Tanzania na Cuba.View attachment 3261965
Sawa
 
Ukilinganisha na Wasira huyo Speaker ni bonge la endisamu boi.

Wasira ni limited edition, exclusive version, one and only. Hakuna kama yeye.
 
WASIRA AZUNGUMZA NA SPIKA WA JAMHURI YA CUBA, OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA.*

View attachment 3261969
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara), Ndg. Stephen Wassira amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Taifa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Cuba Esteban Lazo Hernandez na ujumbe wake waliofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba, Dar es Salaam leo Machi 6, 2025.

Katika mazungumzo viongozi hao waliahidi kuendeleza ushirikiano wa kihistoria kati Chama Cha Mapinduzi na Chama cha Kikomunisti cha Cuba, pamoja na Tanzania na Cuba.View attachment 3261965
Kweli bhana wanafanana😆
 
Back
Top Bottom