Picha na habari Live toka uwanjani Arusha

Picha na habari Live toka uwanjani Arusha

Tantarira chama chaka la makanjanja via makachero! Vijana wamekua mtaji kwa wanasiasa uchuro! Kama wakina lema na wenzake! Mkiambiwa fanyen kazi nyie mnabaki kusubr cdm iwaletee maendeleo. Mtakaa sana wajinga ndio waliwao. Pole zao wanaochangishwa pesa bila kujua zienda wap. Na wale watu wanaoingia kwenye hyo mikutano wamechoka. Ndio maana wanakuwa na muda wa kuja kupigizana kelele na wanafiki kama Zito na wenzake.

Kuhusu kuchangiswa fedha ni matakwa ya wananchi binafsi, mbona miaka ya sabini mwishoni na semanini mwanzoni sisiemu ilikuwa inachangusha fedha za mwenge kwa lazima mpaka kwa watiti wa chekechea?
Mbona sisiemu ilituchangisha pesa za lazima kwa ajili ya CDA lakini mpaka sasa hakuna kilichofanyika zote mkala.
Sisi tunachanga pesa ili mapambano ya kuingoa sisiemu dhalimu yaendee, unataka kujua pesa zinaenda wapi? Je mapambano huyaoni? Au unataka uonyeshe mpaka risiti za matumizi.
 
Hata vile vikanga, vikofia na vtshirt vya magamba wanavyohonga ni uchafuzi wa mazingira pia, kwani vinavaliwa asubuhi jioni vimechakaa vinatupwa.
 
DSC05231.JPG
Leo kulikuwa na tatizo la net, asante Mungu naona inakubali sasa...
 
Hata kama mnapewa hizo buku 7 hivi hamuwezi kutumia akili kidogo hata zile za mtoto mchanga kujua akinanwa na mavi anaenda chooni na sio ktk friji !!
Wewe kweli unaweza fananisha maudhurio ya wabunge hawa na wale wa magamba ? Kuna yale yanalala mpaka udenda unaziba mic zao, kuna wale tena mawaziri wanakimbia bunge kila siku na unakuta eti waziri wa mifugo anajibu maswali ya waziri wa ulinzi n.k, huyo paymaster wenu Mwigulu alishikwa ugoni akiwa ktk kampeni wapi ?? Na bosi wao kuna anayemzidi u VDG ??

ni aibu kwa kwa chadema kuelekeza nguvu zao zote kwenye kampeni za udiwani huku wakishindwa kuwawakilisha wananchi ipasavyo bungeni. tumeshuhudia wabunge hao akiwemo lema, lissu na mbowe wakishindwa kutulia na kusimamia mijadala bungeni kwa sababu ya kuratibu kampeni za udiwani
 
mkuu Crashwise simu yangu imekataa kufungua hizo picha,nimechukia sana ila kesho nitazifungua asubuhi.
 
Last edited by a moderator:
Big up kamanda Crashwise, ukweli licha ya net hata simu pia ni usumbufu kutwa mpaka usiku huu. Hawa magamba sijui walihujumu mawasiliano.

Hakika wapinzani wetu kisiasa hawatapona kwa mwendo huu.

Kuhusu kule natl. Stadium tuko pamoja ki-timu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom