Communist
JF-Expert Member
- Jun 1, 2012
- 5,400
- 1,186
Wala hakitabaki hata kimoja.kaka sio uchafuzi,watu wanaviokota kaka.

Ndugu wana Jf,
Nipo hapa uwanjani Ngarinaro, Arusha tunasubiri viongozi wafike niwape
updates. Leo Chadema wanazindua kampeni za Udiwani kwa kata 4
zilizotangawa.
Kwa sasa Chopa inapita Arusha nzima wakitupa vipeperushi vyenye picha za
wagombea. Bado viongozi hawajafika uwanjani. Ila tayari wagombea wawili
wameshawasili, na wengine wawili ndio wamekwenda kuwachukua. do
hapa ngarna nyomi ya watu usipime.
magamba tumbo linawaka moto
hakuna kata itaenda kwa magamba ninavyoijua CHUGA..!
machali ya ARA kwakweli wamewachoka magamba.
ni aibu kwa kwa chadema kuelekeza nguvu zao zote kwenye kampeni za udiwani huku wakishindwa kuwawakilisha wananchi ipasavyo bungeni. tumeshuhudia wabunge hao akiwemo lema, lissu na mbowe wakishindwa kutulia na kusimamia mijadala bungeni kwa sababu ya kuratibu kampeni za udiwani
Ndugu wana Jf,
Nipo hapa uwanjani Ngarinaro, Arusha tunasubiri viongozi wafike niwape
updates. Leo Chadema wanazindua kampeni za Udiwani kwa kata 4
zilizotangawa.
Kwa sasa Chopa inapita Arusha nzima wakitupa vipeperushi vyenye picha za
wagombea. Bado viongozi hawajafika uwanjani. Ila tayari wagombea wawili
wameshawasili, na wengine wawili ndio wamekwenda kuwachukua. do
Tunawatakia mafanikio,
Japo ninashangaa sana kwamba Chopa inarusha vipeperushi, this is too low for CHADEMA; ni uchafuzi wa mazingira; wangeweza kufikisha ujumbe kwa kutumia SMS, Radio nk. na hivyo vipeperushi kugawiwa kwa watu moja kwa moja na sio kurusha toka hewani.
If you dont know the importance of saving the environment, try to drink your Money where there is no water.
Ndugu wana Jf,
Nipo hapa uwanjani Ngarinaro, Arusha tunasubiri viongozi wafike niwape
updates. Leo Chadema wanazindua kampeni za Udiwani kwa kata 4
zilizotangawa.
Kwa sasa Chopa inapita Arusha nzima wakitupa vipeperushi vyenye picha za
wagombea. Bado viongozi hawajafika uwanjani. Ila tayari wagombea wawili
wameshawasili, na wengine wawili ndio wamekwenda kuwachukua. do
kaka sio uchafuzi,watu wanaviokota kaka.
si makosa yako maana hujui njia za kufikisha ujumbe ulivyotofauti
Ndugu wana Jf,
Nipo hapa uwanjani Ngarinaro, Arusha tunasubiri viongozi wafike niwape
updates. Leo Chadema wanazindua kampeni za Udiwani kwa kata 4
zilizotangawa.
Kwa sasa Chopa inapita Arusha nzima wakitupa vipeperushi vyenye picha za
wagombea. Bado viongozi hawajafika uwanjani. Ila tayari wagombea wawili
wameshawasili, na wengine wawili ndio wamekwenda kuwachukua.
Ongeza speed kidogo.kamanda lema anawatambulisha Madawani sasa na kuwaombea Kura kila mmoja.
Picha wapi ni uwongo huo tunataka picha za chopa. Watu na wabjnge pia wagombea.
Wivu wa kike uliojaa harufu ya ukame wa fikra!!!Tantarira chama chaka la makanjanja via makachero! Vijana wamekua mtaji kwa wanasiasa uchuro! Kama wakina lema na wenzake! Mkiambiwa fanyen kazi nyie mnabaki kusubr cdm iwaletee maendeleo. Mtakaa sana wajinga ndio waliwao. Pole zao wanaochangishwa pesa bila kujua zienda wap. Na wale watu wanaoingia kwenye hyo mikutano wamechoka. Ndio maana wanakuwa na muda wa kuja kupigizana kelele na wanafiki kama Zito na wenzake.
Wivu wa kike uliosheheni ukame wa fikra!!!ni aibu kwa kwa chadema kuelekeza nguvu zao zote kwenye kampeni za udiwani huku wakishindwa kuwawakilisha wananchi ipasavyo bungeni. tumeshuhudia wabunge hao akiwemo lema, lissu na mbowe wakishindwa kutulia na kusimamia mijadala bungeni kwa sababu ya kuratibu kampeni za udiwani
ni aibu kwa kwa chadema kuelekeza nguvu zao zote kwenye kampeni za udiwani huku wakishindwa kuwawakilisha wananchi ipasavyo bungeni. tumeshuhudia wabunge hao akiwemo lema, lissu na mbowe wakishindwa kutulia na kusimamia mijadala bungeni kwa sababu ya kuratibu kampeni za udiwani
ni aibu kwa kwa chadema kuelekeza nguvu zao zote kwenye kampeni za udiwani huku wakishindwa kuwawakilisha wananchi ipasavyo bungeni. tumeshuhudia wabunge hao akiwemo lema, lissu na mbowe wakishindwa kutulia na kusimamia mijadala bungeni kwa sababu ya kuratibu kampeni za udiwani
Elfu saba waishakupa? Kuratibu mijadala ipi bungeni? Hilo si bunge rafiki yangu. Ni nyumba ya makinda. Alitumwa pale kwa makusudi ya kulinda maslahi ya mafisadi.
Au unadhani hatuoni kinachoendelea humo? Hawa vijana wametuwakilisha vya kutosha na tumelizika. Mbona Ndugai hajaomba ushahidi tena kwa Lema? Serikali yenu ni ya kisanii toka juu mpaka chini ndo maana hata vyombo vya usalama haviaminiki sasa hivi. Kichwa chako hakiwezi kukosa hekima ukategemea mguu kuwa na hekima.
Swali langu kwako; hao waliobaki bungeni (wengi wao CCM) umeridhika na kazi yao kwenye hiyo nyumba ya Makinda?