Picha na habari Live toka uwanjani Arusha

Picha na habari Live toka uwanjani Arusha

Tunawatakia mafanikio,

Japo ninashangaa sana kwamba Chopa inarusha vipeperushi, this is too low for CHADEMA; ni uchafuzi wa mazingira; wangeweza kufikisha ujumbe kwa kutumia SMS, Radio nk. na hivyo vipeperushi kugawiwa kwa watu moja kwa moja na sio kurusha toka hewani.

If you dont know the importance of saving the environment, try to drink your Money where there is no water.

This is too low a thinking and you've just cramed about saving the environment. There is no correlation btn flyers and water loss, unless they are using polythine papers. Aren't the papers biodegradable? Are the papers lying around in the streets in Arusha part of the CDM flyers?
 
CCM kuna watu wanatamani wao waonekane wa maana tu na wenye fedha ndyo maana wanakandamiza watu wengine hasa masikini maana leo hii rafiki mkubwa wa ccm ni tajiri tena wale wasio na uzalendo anayebisha hili aseme nani ni mfanyabiashara mzuri na mwenye huruma na jamii ccm inampenda
 
ni aibu kwa kwa chadema kuelekeza nguvu zao zote kwenye kampeni za udiwani huku wakishindwa kuwawakilisha wananchi ipasavyo bungeni. tumeshuhudia wabunge hao akiwemo lema, lissu na mbowe wakishindwa kutulia na kusimamia mijadala bungeni kwa sababu ya kuratibu kampeni za udiwani
Hapo kwenye red, nchemba, lusinde, serukamba, wametulia wakitafuta vocabulary mpaya ya mat*si.
 
This is too low a thinking and you've just cramed about saving the environment. There is no correlation btn flyers and water loss, unless they are using polythine papers. Aren't the papers biodegradable? Are the papers lying around in the streets in Arusha part of the CDM flyers?

Give me a break and go back to school...... Haaaah. There is a direct connection between the two.... do your homework!!
 
ni aibu kwa kwa chadema kuelekeza nguvu zao zote kwenye kampeni za udiwani huku wakishindwa kuwawakilisha wananchi ipasavyo bungeni. tumeshuhudia wabunge hao akiwemo lema, lissu na mbowe wakishindwa kutulia na kusimamia mijadala bungeni kwa sababu ya kuratibu kampeni za udiwani

Mabadiliko hayaji kwa kukaa kwenye stuli ndefu au kwa mgao wa vitumbua. Wenzako wanakula maisha kwa kupora rasilimali za nchi we unabakia kuleta harufu mbaya humu jamvini. Utabaki hivyo hivyo.
 
Tantarira chama chaka la makanjanja via makachero! Vijana wamekua mtaji kwa wanasiasa uchuro! Kama wakina lema na wenzake! Mkiambiwa fanyen kazi nyie mnabaki kusubr cdm iwaletee maendeleo. Mtakaa sana wajinga ndio waliwao. Pole zao wanaochangishwa pesa bila kujua zienda wap. Na wale watu wanaoingia kwenye hyo mikutano wamechoka. Ndio maana wanakuwa na muda wa kuja kupigizana kelele na wanafiki kama Zito na wenzake.

Ww ni mtanzania kweli? hebu niambie Tabora ambako wamekumbatia ccm kunanini?, Mtwara kunanini? Tanga na pwani kunanini? Arusha ndo Ulaya ya Tz so mabadiliko yakianzia huko yataigwa kuliko mabadiliko yakianzia gizani Tabora au Dodoma. Shame on you!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom