Picha na habari Live toka uwanjani Arusha

Picha na habari Live toka uwanjani Arusha

Magamba leo wametuharibia kabisa. Yaani tulikuwa tunavizia net kama tunawinda
 
asante sana Crashwise. mtandao leo umesumbua sana. vipi umeweza kupata matokeo ya simba na yanga unijalie?. mia
 
Last edited by a moderator:
Woooh,Ni poa hiyo!!!Wameongelea nini zaidi kwani ninaamini walikuwepo Makamanda wa kutosha kufunguka vya kutosha.,Fungukeni wana nilitamani niwepo A town bahati mbaya nimemiss.
 
Murua mpaka inakupa raha hichi ndio kinachoinyima usingizi CCM

Saa ya ukombozi ni sasa
 
TATIZO KUBWA HAPO VIJANA MLIOJAA UWANJANI HAMJAJIANDIKISHA,ila big up kwa maandalizi na ufunguzi wa kampeni

Wangependa sana kujiandikisha na kupiga kura lakini serikali ya CCM na TUME YA UCHAGUZI wameamua kwa makusudi kuwanyima hiyo nafasi...wanasahau kuwa hiyo ni haki yao kikatiba.
 
Hizi ni mvua za rasha rasha tu gharika inafuata
 

Attachments

  • 165407_280963055374035_1343572065_n.jpg
    165407_280963055374035_1343572065_n.jpg
    147.4 KB · Views: 190
  • 428109_280962938707380_1117044706_n.jpg
    428109_280962938707380_1117044706_n.jpg
    129.4 KB · Views: 2,289
  • 945579_280962575374083_515188372_n.jpg
    945579_280962575374083_515188372_n.jpg
    105.4 KB · Views: 2,318
Ndio MAAN nakubali kwa wanaosema kwamba ukombozi wa pili Tz, utanza Hapa Arusha, hawa makamanda hawana njaa za kuhongwa, chips, bia au gongo kama wale wafia utumbo wa ccm, Mungu awabariki sana mmekuwa sababu ya ujasiri kwa vijana wote kuikataa ccm na ushenzi wao wote.
TUKUMBUKE KULINDA KURA ZETU,ARUSHA NAWAKUBALI NA NAJIVUNIA KUWA NA WATU WENYE AKILI NA WACHAMBUZI WA MAMBO KAMA NYIE,
 
Hakika Arusha ndio turning point ya ukombozi wa Mtanzania. Ni fahari sana kuishi Arusha na kuwa na fikra pevu .
 
Hongereni wana Arusha kwa kweli ni mfano wa kuigwa. Mungu azidi kuwatia nguvu ukombozi kutoka kwa mkoloni mweusi utimie. Wao waende kupanga jinsi ya kuvuna rasilimali zetu bila ridhaa yetu sisi tunapigania ukombozi hadi kieleweke.
 
ELINEEMA J MOSI, Good Job and God Bless you for inciting hope in our heart.
 
Mkuu Kijitonyama!

Heshima kwako.

Mwambie huyo Mbulula arejee kile kikatuni cha Wakenye kuhusu Bunge la Tanzania. Nadhani pale ndio ataona jinsi MAGAMBA walivyo lifanya Bunge letu lidharauliwe na kila nchi Duniani.
Ule ndio ukeli wenyewe bila chembe ya uongo.

Heshima kwako kamanda na pole na uchungu unaolikumba taifa letu kwa ajiri ya watu wachache (mafisadi)

Bunge letu limepoteza mwelekeo. Tumefika point ukimwambia Makinda kuwa samaki anaishi majini, atakataa na kukuomba vidhibitisho. Tuwe kama wakenya. Tuache mambo ya kura ya rais ntawapa CCM na ya ubunge ntampa chadema. Inabiti tupige mfagio kote. Mbunge na rais. Wakenya wao waliita kuvaa suti na tai.

Ubarikiwe kamanda
 
Tantarira chama chaka la makanjanja via makachero! Vijana wamekua mtaji kwa wanasiasa uchuro! Kama wakina lema na wenzake! Mkiambiwa fanyen kazi nyie mnabaki kusubr cdm iwaletee maendeleo. Mtakaa sana wajinga ndio waliwao. Pole zao wanaochangishwa pesa bila kujua zienda wap. Na wale watu wanaoingia kwenye hyo mikutano wamechoka. Ndio maana wanakuwa na muda wa kuja kupigizana kelele na wanafiki kama Zito na wenzake.

Kumbe ndo maana hunenepi. Hebu waangalie makamanda walivyo na afya
 
Ndugu wana Jf,

Nipo hapa uwanjani Ngarinaro, Arusha tunasubiri viongozi wafike niwape updates. Leo Chadema wanazindua kampeni za Udiwani kwa kata 4 zilizotangawa.

Kwa sasa Chopa inapita Arusha nzima wakitupa vipeperushi vyenye picha za wagombea. Bado viongozi hawajafika uwanjani. Ila tayari wagombea wawili wameshawasili, na wengine wawili ndio wamekwenda kuwachukua.

=============================
Picha ya mkutano hapo Ngarinaro
=============================

attachment.php

................
attachment.php

Wao na polisi sie na ukombozi, hongereeni Makamanda wote tu pamoja.
 
kwa kawaida hata yesu alipata mpinzani hvyo sishangai wakati huu watu zaid ya asilimia 60 kupata 0. Hatari sawa wewe gamba.

ndio mnataka mchukue nchi mtuenezee yesu wenu co....makafir wakubwa nyie.
 
Back
Top Bottom