Picha:Muonekano Mpya wa Zari

Picha:Muonekano Mpya wa Zari

Miziki, maparty yao yamebumaaa.....

Wema minyotaaaa

Angalizo: Binamu usinichambee eti..
Asante mpendwa, imebuma wakaona waiumue kwa kumualika Wema na dada wa hiyari wa wema 9mange0 kamwambia mdogo wake asiende watakoma, walikuwa wanamchamba leo wanamualika kuumua part acha idode.
 
hahaha dunia yangu na =hawa majamaa ni mbili tofauti siwezi kuoneana wivi na watu hao wote wawili
anafanya Music, Wasafi kwa sasa n among record label bora kabisa baran Africa.... mwache akavune zaid, una nia njema nae, mwombee aendelee kufanikiwa, milango kama hii inapofunguka(kama n kweli) unapojitokeza kuombea isifunguke unaonekana n mchawi, hakuna asiependa mafanikio
 
IMG_20170210_070159.jpg

Asante mpendwa, imebuma wakaona waiumue kwa kumualika Wema na dada wa hiyari wa wema 9mange0 kamwambia mdogo wake asiende watakoma, walikuwa wanamchamba leo wanamualika kuumua part acha idode.
 
anafanya Music, Wasafi kwa sasa n among record label bora kabisa baran Africa.... mwache akavune zaid, una nia njema nae, mwombee aendelee kufanikiwa, milango kama hii inapofunguka(kama n kweli) unapojitokeza kuombea isifunguke unaonekana n mchawi, hakuna asiependa mafanikio
mchawi mwenyewe na......... simwombei wala nini kwani nawaombea wa kwetu?1 nianze kumwombea mtu nayemsikia kwa redio wa kazi gani sina muda huo khaaaaaaaaaaa namwombea mwanangu ,buzi langu ,mamangu na ndugu wa karbu mfyuu
 
ngoja nimtafute anipe diet yake na hili umbo la kichaga nitakuwa kama baunsa wa maisha club?
 
mchawi mwenyewe na......... simwombei wala nini kwani nawaombea wa kwetu?1 nianze kumwombea mtu nayemsikia kwa redio wa kazi gani sina muda huo khaaaaaaaaaaa namwombea mwanangu ,buzi langu ,mamangu na ndugu wa karbu mfyuu
Wanawake bana, hamuewekag hata mnasimamia nn

Sasa kilicho kufanya ukavamia swali nililo uliza mtu mwingine n nini? Kama kweli ulikua unajua haya uliyo andika kwann huku kaa kimya au kua na mtazamo tofaut na ule ulio anza nao?

Mungu huwabariki wanao waombea mema wenzao
 
Wenye nazo wanafaidi jamani...ngoja upepo upite nami nianze kuuza nitoke faster!
 
Ila kwenye ukweli


tuseme, HAWA WANAONG'ANG'ANIA WEMA ANA NYOTA. Ni nyota gani jamani. Maana kama ni nyota ile application saiv ingekua topic ila maskini ndio akadoda nayo central,karudi ila amezungukwa na wanafiki kazi kumsifia nyota kumbe wanang'ong'a.
Ananyota ya kudinyana kila kona
 
Vimebumaje hooovyooo...misukule ya wema bwana kila siku ni kuwazia wenzao mabaya tu..tafuten ya kufanya chuki ni mbaya.....sasa hiyo minyota ya wema ndio ipi kwa mfano...nyota ya kulalwa hovyo na kuliwa denda na kila kiitwacho kidume
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
ana nyota ya kupendwa na visingeli wenzie tu na makahaba wenzie....
Angekua na nyota ya maana angekua mbali na biashara zake bht mbaya nyota yake vebuma vyoote...
Wapi movie anazo launch kila siku hazitoki
Wapi lipstick
Wapi ndala
Wapi endless fame
Wapi....
Wapi...
Nyota lake la giza
We umemaliza wanampa kichwa sana,halafu nashangaa akitoa kazi zake wala hawamsapoti hata hiyo App itabuma waswahili wanafiki sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom