Picha:Muonekano Mpya wa Zari

Picha:Muonekano Mpya wa Zari

Wanawake bwana viumbe wa ajabu sana! comments zote hapo juu hakuna hata anayemsema vizuri mganda wa watu!
Ooo amatafuta kiki ,mara nyo ...nyo...... Mtakufa kwa presha bure mwenzenu anazidi kupendeza na kutengeza pesa!
Na matumbo yenu makubwa kabla hamjawa na kachalii hata kamoja......
 
Wewe ndo kiumbe wa ajabu kweli kweli tena kuongelewa ndo anapenda either kwa negative or positive
 
Acha unaaa Diva Beyonce alikwambia anapenda kuongelewa kwa negative au una assume
Ndo tabia za mastar sasa usipowaongelea si watasahaulika, kumbuka kipindi kile ana chwabwa na timu wema alikua ana enjoy sana kila afanyalo wote wamfuatilia ona hii mimba yake ya pili ilivo poa utafikiri si yeye. Kwa mastar kuongelewa kwa zuri au baya kwao ndo vzuri sasa.
 
Mh huyu Zari keshakuwa mke wa mtu au kifyatua watoto cha mtu?
 
Zari Jana clouds kasema March diamond anaenda kutambulishwa kwa baba ake
 
Miziki, maparty yao yamebumaaa.....

Wema minyotaaaa

Angalizo: Binamu usinichambee eti..
Vimebumaje hooovyooo...misukule ya wema bwana kila siku ni kuwazia wenzao mabaya tu..tafuten ya kufanya chuki ni mbaya.....sasa hiyo minyota ya wema ndio ipi kwa mfano...nyota ya kulalwa hovyo na kuliwa denda na kila kiitwacho kidume
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
ana nyota ya kupendwa na visingeli wenzie tu na makahaba wenzie....
Angekua na nyota ya maana angekua mbali na biashara zake bht mbaya nyota yake vebuma vyoote...
Wapi movie anazo launch kila siku hazitoki
Wapi lipstick
Wapi ndala
Wapi endless fame
Wapi....
Wapi...
Nyota lake la giza
 
Ila kwenye ukweli

tuseme, HAWA WANAONG'ANG'ANIA WEMA ANA NYOTA. Ni nyota gani jamani. Maana kama ni nyota ile application saiv ingekua topic ila maskini ndio akadoda nayo central,karudi ila amezungukwa na wanafiki kazi kumsifia nyota kumbe wanang'ong'a.
Na hao wanafiki hawanunui chochote c lipstick si ndala...si chochote....
wkt wao ndio walitakiwa wamnufaishe boss kwa support ya ununuz badala ya mitusi kwa wenzao na kumsifia
 
Hapo sasa,wapo tu kumshangilia na kumpa sifa za juu juu ila hawamuungi mkono kwenye biashara zake.(asilimia kubwa ya team wema ni follower wa zari hata kwa feki accounts)
Na hao wanafiki hawanunui chochote c lipstick si ndala...si chochote....
wkt wao ndio walitakiwa wamnufaishe boss kwa support ya ununuz badala ya mitusi kwa wenzao na kumsifia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom