Cha ajabu nini kama yeye anachotafuta ni maisha na kama anaona kule ata-make maisha...ushabiki wa kibongobongo utampa hela ngapi zaidi ya sifa za kijinga tuAsante binamu maana hili lilinikera sana.
Ndivyo ushabiki wa bongo ulivyo...mtu asifuate maslahi mapana mradi awaridhishe wabongo kwamba anakimbizana na akina Diamond... wasipotoboa watafute mchawianafanya Music, Wasafi kwa sasa n among record label bora kabisa baran Africa.... mwache akavune zaid, una nia njema nae, mwombee aendelee kufanikiwa, milango kama hii inapofunguka(kama n kweli) unapojitokeza kuombea isifunguke unaonekana n mchawi, hakuna asiependa mafanikio
Waambie na wanaomponda wavaeZari tumbo kama hajazaa au kavaa mkanda
Leo nimekukamata..kumbe huku nje naitwa Buzi,tukiwa ndani nageuka baby!....sasa zile outing naanza kuzipunguza!mchawi mwenyewe na......... simwombei wala nini kwani nawaombea wa kwetu?1 nianze kumwombea mtu nayemsikia kwa redio wa kazi gani sina muda huo khaaaaaaaaaaa namwombea mwanangu ,buzi langu ,mamangu na ndugu wa karbu mfyuu
"Kama"Zari tumbo kama hajazaa au kavaa mkanda