Picha: Mrembo wa Kitanzania aliyekamatwa na heroin China

Huyu dada alipita eapoti nahijabinakasibdikizwa name benyenchii hii n hatari
 
Huyu ndo alikua na binti kiziwi alipokamatwa na dawa za kulevya china..akamkana mwenzie...yako wapi sasa
 
hivi kazi zetu hizi za kawaida tu hazifai ee? Tufanyeje kuondokana na tamaa hizi! Unajua sio umaskini ni tamaa na hii tamaa inatokana na ufisadi kukithiri hivyo watu wameongezeka tamaa za kuwa na maendeleo ya haraka bila kusotea.
Kwanza inabidi kupambana na wizi na ufisadi nchini, ufanyike upelelezi watu wametoa wapi mahela ya kushusha mijengo ya ajabu, baada ya hapo iwekwe mikakati ya kuzuia ubathilifu huo then turudi kwenye kuthamini utaratibu wa maendeleo kwa kuchapa kazi sio kwa wizi!
 
jacque-cliff-600x275.png
Dah, bora angeamua kufanya biashara ya uchangudoa pengine ingemsitiri. Kitanzi hichooooo!
 
Ni bahati mbaya tu hiyo ,ajali kazini msivunjike moyo .


Tanzanian woman nabbed for body-smuggling 1.1kg of heroin

2013-12-20 01:41:28 GMT2013-12-20 09:41:28(Beijing Time) SINA English



(1/3)(Photo: ecns.cn)


  • U158P5029DT20131220094104_h60.jpg
  • U158P5029DT20131220094106_h60.jpg
  • U158P5029DT20131220094108_h60.jpg




A 28-year-old woman from Tanzania was arrested at Macau airport as the security found over 1.1kg of heroin (valued at over 1.1 million pataca) in her body, which would be smuggled to S China's Guangzhou city. This is the third case this year involving drug traffickers of Tanzania nationality.
Mkuu unajua vizuri madhara ya madawa ya kulevya?
 
wa myonge tu na isitokee kama ya sa

This is the third case this year involving drug traffickers of Tanzania nationality.
 
Huyu Jackie Cliff ndo aliyemponza Binti Kiziwi Kwa kumbebesha unga kisha kumtelekeza Airport Hong Kong hadi akakamatwa.
Sasa ni zamu yake aonje machungu aliyopata mwenzake. Wengi walimpania sana huyu kutokana na jeuri zake kuwa hakamatiki.
Sasa afadhali mwenzake alidakwa Hong Kong akafungwa tu, lakini yeye kadakwa China asubiri kitanzi.
 
Duh...heri angekamatwa South Africa zingebadilika kuwa unga wa sembe lakini China!!aisee RIP Mdada..

Du huyo hapo hamna ujanja, tumsahau kwa kweli. Huko nasikia hamna kuremba bwana ataozea jela
 
Mkuu, macau nako wananyonga? Nitanabaishe kidogo.

Bro maccao hawanyongi cz ilikua koloni y mwingereza,ashukuru hlo atahukumiwa 2 mana kuna vijana walikamatwa mwaka juzi maccao.

Wamehukumiwa mwaka jana 30yrz n watoto w kariakoo yan baba yao aliuza nyumba kuhangaikia case wa2 wakala hela zote

Mzee w kizaramo anajua wanae watatoka kumbe mabush lawyer wamempiga changa la macho
 
Dah, bora angeamua kufanya biashara ya uchangudoa pengine ingemsitiri. Kitanzi hichooooo!

Unlike in mainland China, Macau does not impose death penalty. Under Macau's 2009 Drug Abuse and Drug Trafficking Law, smuggling of prohibited substance carries a penalty ranging from 8 to 12 years in jail.

The latest drug trafficking incident involving Filipinos indicates that many of them are unfazed by the death sentences carried out in 2011 by the Chinese government on four Philippine nationals who smuggled large quantities of drugs to the country. The four convicted Filipino drug smugglers died by lethal injection.
 
Back
Top Bottom