Ushirombo
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 3,557
- 2,692
mimi huwa nawaeleza siku zote serikali haiko serious kuzuia haya madawa, ni either inanufaika na wauza madawa au ni wenyewe kama kapuya alivyosema au ni serikali dhaifu, hivi kwa akili ya kawaida tu,serikali kukamata mtandao wa huyu binti wanaweza wakaanza na simu yake ya mkono wakishirikiana na tcra na local mobilefoni companies ku trace mawasiliano yake, lakin kwa hii serikali ya kijinga imekaa kimya tu mara zote aaaah inauma jamani