Picha: Mrembo wa Kitanzania aliyekamatwa na heroin China

Hivi hizi zote alikua amemeza ili "azitoe" baadae...dah! hawa warembo tunakaa nao kumbe roho ngumu namna hii
 
starehe ndogo tu zinaharibu maisha...hivi vilounge vinafunguliwa siku hizi beer tsh 7000, whisky double shots 40,000, wine kajagi kako ka glass 2 tsh 80,000 vinaharibu sana vijana....
 
Back
Top Bottom