Hamna kitu CDM,siku zao zinahesabika.
Ina maana picha iliyopatikana ni moja tu?
Hongera Chadema.
yule mwekiti wa matawi 189. aje asungumzie hii hali anaionaje??
View attachment 127070
magamba waje tena na propaganda tena,R.I.P CCM,R.I.P mtoto wa miaka 11 alieuwa na gamba Mabina
Kamanda wa anga mkutano wa Mwanza leo
Hapa anasemaje ana uchungu au anawazia jumba lake la Dubai?
Hivi zito anaanza ziara ya kuimarisha chama lini?
mkuu ingine hii hapa. nimeikuta kule facebook kwa jamaa flani. lazima tulinde hadhi ya viongozi kwa kuonyesha kile kitakachowauza tu. na si vinginevyo.Ina maana picha iliyopatikana ni moja tu?