Picha mkutano wa Mh Mbowe-Mwanza

Ndugu zanguni wana mageuzi mimi nimefurahishwa sana na mkusanyiko mkubwa huo wa wanainchi-Mwanza.Hii inaonyesha kuwa Chadema ni Taasisi Imara yenye Nguvu na vinginevyo.

SWALI LANGU NI JE, MBOWE AMEZUNGUMZIA NINI KWENYE MKUTANO HUO KUKIDHI HAJA YA WANAINCHI KATIKA MAMBO YANAYOWAKERA KATIKA MAISHA YAO YA KILA SIKU.....???
NAOMBA JIBU

umeandika point
 
mungu yu pamoja nasi.mwendo huohuo hakuna kurudi nyuma kamanda wa anga. peopleeeeesss...
 
Jamaa wa matamko na vibango vyao hawakuwepo?
Wasingelithubutu kujitokeza!!!!

Hao jamaa walikuwa na jumapili ngumu zaidi maishani mwao na sasa wanajua namna ilivyohatari kupambana na nguvu ya uma. Msafara wa pikipiki kutokea Gold Crest Hotel kwenda Nyamalango Nyegezi na Kurudi Mjini kati ni kisu kilichowachuna wakiwa hai na kuwaua kihisia.
Waache wafu wamzike mfu mwenzao!!!!
 
Kule fb nimekuta post ya martini munisi akiuliza kuwa mbona makada wa chadema mnapishana wengine mopost kavaa gwanda nyeusi na mwingine kaki tuamini picha ipi sasa

Najitoa chadema maana kwasasa tunafanya usanii

Acha use,nge.ww mbona na nyie kinana na nape walivaa matishrt meusi yameandikwa ccm
 
Wasingelithubutu kujitokeza!!!!

Hao jamaa walikuwa na jumapili ngumu zaidi maishani mwao na sasa wanajua namna ilivyohatari kupambana na nguvu ya uma. Msafara wa pikipiki kutokea Gold Crest Hotel kwenda Nyamalango Nyegezi na Kurudi Mjini kati ni kisu kilichowachuna wakiwa hai na kuwaua kihisia.
Waache wafu wamzike mfu mwenzao!!!!

Mzee wa pesa za Uswis pesa alizo pewa na Magamba zimeisha?
 
Back
Top Bottom