Picha mkutano wa Mh Mbowe-Mwanza

Picha mkutano wa Mh Mbowe-Mwanza

Sasa hapa kuna condom? Na Malimbe mwanza ni kanda gani? Na nyie kajazeni malimbe uone, muache kufikiri kwa ma------.

hata kwenye mapromotion ya kutangaza salama condom dume watu wanajaa,sasa kwa akili yako hiyohiyo ndogo jiulize,waavutiwa na condom? au wanafwata mkumbo tu?CDM wanajiuwa wenyeme kwa kukumbatia UKANDA.
 
Yule mwenyekiti wa matawi ya chadema mwanza ameiona hii picha

hivi na ile mizoga iliyopelekwa kigoma na matata haijarudi na mabango yao? Ukweli utaki kuwa ili kuwa ccm lazima ujue uongo,kupindisha ukweli,mwizi,muuaji, fisadi, kaha.. ,n.k

lumumba genetation leo siioni mbona? Au wanamjonzi ya mwizi mwenzao kuuawa?
 
Kule fb nimekuta post ya martini munisi akiuliza kuwa mbona makada wa chadema mnapishana wengine mopost kavaa gwanda nyeusi na mwingine kaki tuamini picha ipi sasa

Najitoa chadema maana kwasasa tunafanya usanii
 
attachment.php

Hongera sana kamanda Mbowe! mnafiki na msaliti mkuu wa Chama bwana ZZ yuko wapi? aone kwamba we can do in his absence na watanzania wa sasa siyo wafuasi wa sifa binafsi kama za kwake na Kitila
 
hakuna anaeweza kukausha Ziwa Victoria pamoja na mto nile kupunguza maji kila siku. CHADEMA itadumu milele.
 
Nimeona watu wameweka picha lakini si za kutosha na ilikuwa ni kabla ya Mbowe hajafika na zingine watu walikuwa hawajafika wote,cheki hizi hapa na matukio yote kwa ujumla katika picha,ilikuwa nzuri sana watu nyomi,ulinzi wa kutosha na wasomi kibao,hakuna cha watoa matamko wala nini
bibi cdm.JPG bibi cdm.JPG red@work.JPG red@work.JPG cdm juu.JPG
 
Nimeona watu wameweka picha lakini si za kutosha na ilikuwa ni kabla ya Mbowe hajafika na zingine watu walikuwa hawajafika wote,cheki hizi hapa na matukio yote kwa ujumla katika picha,ilikuwa nzuri sana watu nyomi,ulinzi wa kutosha na wasomi kibao,hakuna cha watoa matamko wala nini

View attachment 127042View attachment 127042View attachment 127043View attachment 127043View attachment 127041

huyo mama alikuwa na hamasa sana,vijana wa sasa mnaita 'mzuka' nasikia ni chadema kitambo.....
uliyepiga picha hii nimekufaham mambo ya 'oblique photograph'
assume unge dondoka mtini ingekuaje?????natania tuuuuuuu.......
 
Back
Top Bottom