Watanzania wameanza kutambua siasa na mbinu zake,hakika ni kazi kubwa zaidi kuwarejesha kwenye siasa za kizandiki na hujuma za kinafiki.Wapo tayari kuhakikisha wanajipatia ukombozi wa mara ya pili pamoja na chama makini(CHADEMA),CCM wamejaribu mbinu nyingi wameshindwa,karata kuu na tegemeo waliyobakia nayo ni ZZK,watanzania kwa pamoja tuhakikishe tunazid kuimarisha umoja wetu kuuondoa utawara dharim uliofitinika.Kipaumbele kwetu ni kuondoa hawa wezi,hayo ya Zitto akaulize UDP,CUF,NCCR,TLP etc kuwa tokea vimeanza 1992 vimebadilisha wenyeviti mara ngapi?Tuhamasishane kujiandikisha january na kujitokeza kupiga kura kwa wingi ngapi kipindi cha uchaguzi?