Picha mkutano wa Mh Mbowe-Mwanza

Picha mkutano wa Mh Mbowe-Mwanza

Chadema😛eace:Chadema:whoo:Chadema

Hongera sana mh.mbowe kamanda wa anga!
 
Jamani hebu tujiulize alafu tuchukue hatua chadema imeteuliwa na mungu sio kama vyama vingine tuiunge mkono mwaka 2015 ili waingile magogoni
 
Bado nauliza wadau wale mapandikizi wa mabango na maandamano walikuwa wa kigoma pekee mbona hawaonekani tena?
Kweli nimeamini ni kwa nini Yuda alimsaliti mwana wa adamu kwa kumbusu, mie nilishawaambia hata marafiki zangu kuwa mbinu wanazotumia ccm kuidhoofisha cdm ni za zamani saaana ambazo ziliweza kusambaratisha cuf na nccr wakati uleee watz wakiwa hawajajitambua saa hivi hata wafanyaje hawachomoki.
"HAKIKA NAWAAMBIENI NI RAHISI SANA MASALIA KUJIENGUA CDM MAPEMA KULIKO CCM KUIUA CDM"

kwa Mwanza mkuu wangu isingewezekena hata sixgates na vibaraka wenzake wanajua kifo kingekuwa halali yao!
 
Last edited by a moderator:
kujaa watu haina maana kuungwa mkono yawezekana waliojaa wanataka kujua habari fulani ambayo imetawala kwa kipindi hichi.
 
Maccm kichefuchefu, yule mwenyekiti uchwara wa matawi 189 yu wapi???? zzk huo mziki unaweza kuucheza???? karaghabhaho

mi naomba wamfukuze kabisa zzk anatuwekea usiku mbele
 
Kamanda wa anga mkutano wa Mwanza leo

Pamoja sana Kamanda, nadhani wale wanaojiita Mabrigedia kwenye vijiwe vy Bangi wameona... Sasa wajipime waone walivyo wepesi kabla hatujaanza kuwatupa kule.
 
attachment.php
Ni wachache ukilinganisha na mikutano Yake aliyofanya awali
 
Back
Top Bottom