PICHA: Mkutano wa CHADEMA Jijini Arusha, Sept 25, 2012

Hapa ccm magamba lazima wanaharisha kama wagonjwa wa kipindupindu, hawaponi hakyanani. Duh!!!
 
So what is your point ? they do not have any right to paticipate in political meetings ? kuwa jobless ni kukosa kazi siyo ? kwani kukosa kazi ni dhambi ? I really fail to understand ! I was one of these jobless for almost four years after my undergraduate, I suffered alot, then I decided to employ myself, baada ya self empoyment ndipo nilihangaika tena kujiendeleza na post graduate, hata sasa ni self employed cause I was jobless ( unemployed) under the formal system. UNALO ?

Hana lolote huyo mboyoyo.....kavurugwa tayari...
 
hao watu ni wachache ukilinganisha na mikutano ya nyuma, watu ndio wanaanza kuachana na cdm hivyo, wafuasi wengi wa cdm ni wakristo waliomchukia kikwete bila sababu ya msingi akimaliza kipindi chake watarudi nyumbani hawa si wanasiasa, ni makantonta.

................Nyambaaaaaaf!!! mijitu imekalia udini udini tu wala haitaki kushughulisha vichwa vyao katika kufikiri, mijitu yenye mawazo ya aina hii zamani wazazi walikuwa wanawabadilisha kwa debe la ukwaju au pilipili.
 
Halafu watu tuliotekea pande hizo tikifanikiwa kimaisha mnasema wezi! Tunafanya maamuzi sahihi, potelea mbali hata kama watatunyima haki ya kutawala bado hatuko katika kundi kubwa la wajinga! Angalia Watu wa Mtwara, Lindi, Singida, Tabora, Pwani wamechagua nini! Angalia na maisha yao. Ndio utadungundua akili kumkichwa!

Punguzaga ukweli saa nyingine...
 
hao watu ni wachache ukilinganisha na mikutano ya nyuma, watu ndio wanaanza kuachana na cdm hivyo, wafuasi wengi wa cdm ni wakristo waliomchukia kikwete bila sababu ya msingi akimaliza kipindi chake watarudi nyumbani hawa si wanasiasa, ni makantonta.

Pole...
 
Mtu mzima Janjaweed, Umeshindwa kunielewa probably because of preconceived ideas ulizo nazo. Ujumbe ninaoutoa ni kwamba where are the learned fellows?

Most of these are deceived jobless...Umepata shida kuelewa nimesema DECEIVED jobless. Kuwa jobless siyo tusi wala kejeli ni hali ya maisha...

Kuna jamaa wangu mmoja mwanasheria kuna siku aliniambia kinachohitajika Tanzania ni maandamano ya kuitoa serikali madarakani kwa nguvu ya umma, nikamuuliza uko tayari kuandamana? Akaniambia no, kuna watu maalum kwa ajili hiyo, akimaanisha watu kama hawa waliojaa hapa - the deceived vulnerable jobless youths.

Lerned fellows never show up!!! They follow events on TV, facebook or JF...

CCM ni chama kinachotetea haki za wanyonge. Wapiga kura wengi ni wanyonge masikini, ndio maana wanakichagua chama wanachokimini CCM na kinashinda kila chaguzi kuanzia ngazi ya vijiji mpaka taifa.

Hii michango miwili ni kutoka kwa one and the same person ZeMarcopolo! Eti wanaohudhuria mikutano ya Chadema ni wale deceived and jobless lakini wanyonge na masikini huichagua CCM kwa sababu wanaiamini! Kwa kweli ili ukitetee hiki chama cha mafisadi lazima uwe na akili sana kama ZeMarcopolo! Bila shaka kwa hizi akili angekuwa mtaji mzuri sana kwa mgombea wa Uraisi Marekani, Mitt Romney!
 
hao watu ni wachache ukilinganisha na mikutano ya nyuma, watu ndio wanaanza kuachana na cdm hivyo, wafuasi wengi wa cdm ni wakristo waliomchukia kikwete bila sababu ya msingi akimaliza kipindi chake watarudi nyumbani hawa si wanasiasa, ni makantonta.

CUF jumapili walipata watu kumi na moja ukitoa wapambe na viongozi..je unataarifa..
 
Hivi Lema ameachana na ile kazi yake?

Amwachie nani? Lema anatapatapa baada serikali ya JK kudhibiti wizi wa magari.Sasa hivi Arusha unaingia na gari lako bila wasiwasi hata ukisahau funguo utalikuta.
 
Mkuu Crashwise nakuona uko na ipad3 hapo front page upotezi mda naona unazunguka degree 380.. heshima yako
 
Last edited by a moderator:
cuf si walisema wanakwenda kubomoa ngome ya cdm............. naona wamebomoka wao badala ya kubomoa ngome................. hahahahahahahahahahah........................wakajipange upya hawa ccmb hawanajipya kabsa..........
 
Hii michango miwili ni kutoka kwa one and the same person ZeMarcopolo! Eti wanaohudhuria mikutano ya Chadema ni wale deceived and jobless lakini wanyonge na masikini huichagua CCM kwa sababu wanaiamini! Kwa kweli ili ukitetee hiki chama cha mafisadi lazima uwe na akili sana kama ZeMarcopolo! Bila shaka kwa hizi akili angekuwa mtaji mzuri sana kwa mgombea wa Uraisi Marekani, Mitt Romney!

Kuna watu waliokuwa deceived na watu wanaotambua reality. Wanaotambua reality ndio wanaoamua nani awe madarakani...
 
Back
Top Bottom