Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,410
- 36,560
Hii nimeipenda sana... ngoja nichange nichange ni copy na paste
View attachment 1149911
Ipo simple ila nzuri
Hii nimeipenda sana... ngoja nichange nichange ni copy na paste
View attachment 1149911
Ipo simple ila nzuri
Are you inspired ?? Unataka kushusha moja kama hilo nini ??Wooow beautiful.,inspiring
Kurenovate..picha zinatia moyoAre you inspired ?? Unataka kushusha moja kama hilo nini ??
Kila la kheri mkuu..........Kurenovate..picha zinatia moyo
Mi napenda sana nyumba izungukwe na miti,inaleta utulivu wa akili Kinachonifurahisha wenzetu wanatunza miti hata kama ipo karibu na nyumba,huku kwetu mtu akinunua kiwanja kitu cha kwanza anafyeka miti yote hata ramani ya nyumba hajui itakaaje
Aisee inaweza kua kweli,Angalia hata project za NHC Yaani ni maghorofa tu Hamna hata mti mmoja,pakavuKuna watu wana ugomvi wa asili na miti
Aisee inaweza kua kweli,Angalia hata project za NHC Yaani ni maghorofa tu Hamna hata mti mmoja,pakavu