PICHA: Mitindo Mbalimbali ya Makazi ya Kisasa

FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
May 27, 2016
4,034
2,000
Wazima wote!

Kumekuwa na madai kuwa, 'Ubora' wa maisha unaendana pia na nyumba unayoishi na si chakula tu unachokula ama mavazi unayovaa. Tizama bunifu hizi za majengo haya ya makazi ya binadamu kisha useme mwenyewe kama ni kweli ama la.

Unakaribishwa pia nawe kuweka picha za mitindo mbalimbali ya majengo ya kisasa!

1149826

1149827

1149828

1149830

1149831

1149833

1149835

1149836

1149838

1149843

1149847

1149862

1149866

1149867

1149889

Picha: Kutoka vyanzo mbalimbali
 
Sir_Mimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2013
6,122
2,000
Nadhani uzi ungekuwa na tija kila kama mmoja ange-share mandhari ya nyumba anayoishi sasa au anayotamani kuimiliki ili kuwatia watu wivu wa maendeleo sasa nyie wakuu mnaweka picha za nyumba za Mengi na Manji wangapi tunaziweza?
 
FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
May 27, 2016
4,034
2,000
Nadhani uzi ungekuwa na tija kila kama mmoja ange-share mandhari ya nyumba anayoishi sasa au anayotamani kuimiliki ili kuwatia watu wivu wa maendeleo sasa nyie wakuu mnaweka picha za nyumba za Mengi na Manji wangapi tunaziweza?
Shukran kwa ushauri.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom