PICHA: Mitindo Mbalimbali ya Makazi ya Kisasa

1152268

1152269
 
Mi napenda sana nyumba izungukwe na miti,inaleta utulivu wa akili Kinachonifurahisha wenzetu wanatunza miti hata kama ipo karibu na nyumba,huku kwetu mtu akinunua kiwanja kitu cha kwanza anafyeka miti yote hata ramani ya nyumba hajui itakaaje
 
Kuna watu wana ugomvi wa asili na miti
 
Aisee inaweza kua kweli,Angalia hata project za NHC Yaani ni maghorofa tu Hamna hata mti mmoja,pakavu

Yaani imekuwa kama utamaduni kukata miti na kuchoma majani
Kuna Kabila moja hilo kwanza wakiwa wamekaa sehemu na mifugo yao wanataka pawe pakavu na watakata miti mpaka shina na kama hiyo haitoshi wanapiga na kiberiti

Sio mijini tu hata porini ni hivyo yaani hatujui thamani ya miti kabisa

Kuna wilaya nimetembelea hivi karibuni wamejitahidi (sio kwa hiari) kupanda miti na huwezi kuamini hata wale ndege waliopotea miaka ya nyuma wameanza kurudi na kuwashuhudia
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom