Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
miaka 50 na ushehe ya uhuru oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Tanzania sisi miundombinu yetu tulishaiharibu toka enzi za kale sasa hivi hatuwezi kuwa na sehemu kama hizo hata iweje.Labda tuweke Dozer toka Kimara mpk Ferry then tuanze fresh.
Ukimaliza hizi naomba na zile picha za mbagala yao , Tandale yao uzitupie
Nikisema nitupie picha za dar mjini ( posta ) unaweza sema uko paradiso lkn hayo sio maisha halisi ya mkaaz wa dar
Seriously?! Unaniita eti unaiponda far kwa kuifananisha na Luanda Angola! Wewe no muangola?! Mimi no means DSM and I'm proud of DSM. Nishafika miji babkubwa zaidi ya Luanda ndugu.
![]()
Mafuta yamechangia ila si kwa kila kiti, hapa mjini watu wakiwekewa viti kama hivi vya kukaa, wataving'oa waswahili kwenda kwenda vyuma chakavu.
Swala ninaloliona lingine ni ustaarabu wa watu wao ni mzuri. watu wanaheshimu vitu walivyowekewa, hawaviharibu kama wabongo.
Sijui kwanini somo la uasafi wa mazingira na ustaarabu lisifundishwe shule ya msingi?
Mkuu hela za dhahabu na almasi huwezi kulinganisha na za gesi na mafuta. Kwa makadirio ya benki ya dunia, TZ itakuwa inaingiza wastani wa dola bilioni 3 kwa mwaka (kumbuka bajeti yetu ya mwaka huu wa fedha ni dola bilioni 12)!
Halafu hela za dhahabu na almasi zilikuwa zinaingizwa moja kwa moja kwenye bajeti ya nchi (budget financing), hivyo wananchi wengi walikuwa hawaoni mafanikio yake.
Hela za mafuta na gesi huwez kufanya hivyo unless unataka kuua uchumi wa nchi. Lazima kuundwe mfuko maalum (sovereign wealth fund)
Nigeria may be experiencing political tiffs lakini kiuchumi ile nchi ni heavyweight. It is ranked 26th in the world in terms of GDP (nominal: 30th in 2013 before rebasing, 40th in 2005, 52nd in 2000), and is the largest economy in Africa (based on rebased figures announced in April 2014). It is also on track to become one of the 20 largest economies in the world by 2020. Halafu uzuri wa Nigeria ni kuwa uchumi wake uko diversified vizuri kwa hiyo hawategemei mafuta tu, sio kama nchi zingine!No matter what you say mkuu bado ni kujitafutia maradhi tu kuwa optimistic kiasi hicho kwa aina ya uongozi tulionao. Nigeria pia wana mafuta tena mengi kuliko hayo tunayoyatarajia sisi yamewasaidia nn so far?. I have reached a point ambapo I'm almost saying kwamba natural resources kwa Africa ni almost curse na si blessing kama ambavyo ilipaswa kuwa. I can give you numbers na enough case studies kusupport hapo niliposimamia.
Kwendaaaa hata kama umefika miji babkubwa lakin ukweli uko pale pale Proud of Dsm(kwa saut ya kubana pua) thubutuuuu Dar na uchafu wa jangwani pale ukaaji mbov wa tandale mpka leo tunajenga roads mpya two ways wakat watu wana 4-5 ways ring roads kama ubungo tazara magomen hakuna et DSM posta kunuka samaki uwanja wa ndege ka banda la Kuku.pfuuuuuuuu
hata sisi tukipata vita mzitoPamoja na civil war za muda mrefu lakini wametuacha mbali sana sisi "kisiwa cha amani"
Bora ujibe moyo haswa kama wewe ni mtendaji wa serikali hii iliyoshindwa kwa miaka 50+Mkuu hela za dhahabu na almasi huwezi kulinganisha na za gesi na mafuta. Kwa makadirio ya benki ya dunia, TZ itakuwa inaingiza wastani wa dola bilioni 3 kwa mwaka (kumbuka bajeti yetu ya mwaka huu wa fedha ni dola bilioni 12)!
Halafu hela za dhahabu na almasi zilikuwa zinaingizwa moja kwa moja kwenye bajeti ya nchi (budget financing), hivyo wananchi wengi walikuwa hawaoni mafanikio yake.
Hela za mafuta na gesi huwez kufanya hivyo unless unataka kuua uchumi wa nchi. Lazima kuundwe mfuko maalum (sovereign wealth fund)
Nigeria may be experiencing political tiffs lakini kiuchumi ile nchi ni heavyweight. It is ranked 26th in the world in terms of GDP (nominal: 30th in 2013 before rebasing, 40th in 2005, 52nd in 2000), and is the largest economy in Africa (based on rebased figures announced in April 2014). It is also on track to become one of the 20 largest economies in the world by 2020. Halafu uzuri wa Nigeria ni kuwa uchumi wake uko diversified vizuri kwa hiyo hawategemei mafuta tu, sio kama nchi zingine!
Badala ya kuisema Tz vibaya tuendelee kuiombea