Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,752
Brutality in Angola. (warning: video inaonyesha ukatili)
Kama nchi ina majengo mazuri ila inahalalisha ukatili kama huu, basi ni bora wale wanaoishi kwenye mabanda na ustaarabu wao.
Duh!!!!!! Mkuu unafahamu kitu inaitwa takwimu????????
Yap! Hii sasa unaweza kuiita City- Sio Dar yenu kama jalala.
Another note: Hawa jamaa walikuwa kwenye vita ya ndani kwa muda mrefu but in a short while wamepiga hatua kubwa tofauti kabisa na sisi waua albino # 1 Duniani.
Waafrika kutoka nchi mbalimbali walioingia Angola kusaka maisha wanakiona cha mtema kuni, angalia video:
Vipi miji mingine huko Angola....? Na kwenyewe kuko kama Luanda?
Hao sio wageni ni wafungwa ntakuletea source. Lakin bora wao hata kama n wagen sie tumejaza wahind upanga kule mpka nyumba kupanga mamilion pfuuuu
Kama nchi ina majengo mazuri ila inahalalisha ukatili kama huu, basi ni bora wale wanaoishi kwenye mabanda na ustaarabu wao.
Tofautisha wafungwa na ilegal immigrants under detention Jestkilla. Anyway, hata wangekuwa wafungwa hawana haki ya kuwafanyia ukatili hivi.
Je, umeona video ya pili jinsi polisi wanavyowafanyia wanawake? Huu ni unyama uliopitiliza.
Kama nchi ina majengo mazuri ila inahalalisha ukatili kama huu, basi ni bora wale wanaoishi kwenye mabanda na ustaarabu wao.
Kama nchi ina majengo mazuri ila inahalalisha ukatili kama huu, basi ni bora wale wanaoishi kwenye mabanda na ustaarabu wao.
Mkuu Mtu aliyetembea miji mikubwa hawez kuja hapa na kuisifia dar huyo atakuwa ametembea kwa picha
Mkuu hela za dhahabu na almasi huwezi kulinganisha na za gesi na mafuta. Kwa makadirio ya benki ya dunia, TZ itakuwa inaingiza wastani wa dola bilioni 3 kwa mwaka (kumbuka bajeti yetu ya mwaka huu wa fedha ni dola bilioni 12)!
Halafu hela za dhahabu na almasi zilikuwa zinaingizwa moja kwa moja kwenye bajeti ya nchi (budget financing), hivyo wananchi wengi walikuwa hawaoni mafanikio yake.
Hela za mafuta na gesi huwez kufanya hivyo unless unataka kuua uchumi wa nchi. Lazima kuundwe mfuko maalum (sovereign wealth fund)
Vipi miji mingine huko Angola....? Na kwenyewe kuko kama Luanda?
HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA JIJI LA LUANDA NCHINI ANGOLA, NGOJA TUONE JINSI GANI WALIVOPIGA HATUA KUMBUKA HAWA ANGOLA NI MIONGONI MWA NCHI ZINAZOTOA MAFUTA KWA WINGI DUNIANI.