PICHA: Mhe Tundu Lissu akiwa hospitalini Nairobi, Kenya anakoendelea kupata matibabu

Salaam kutoka kwa mtu mashuhuri zaidi Afrika Mashariki Ndugu Tundu Lissu.

Waliopanga kukuua wameaibika na watalipa uovu waliopanga na hata kizazi chao cha nne.
 

Attachments

  • IMG-20171018-WA0035.jpg
    IMG-20171018-WA0035.jpg
    64.2 KB · Views: 39
'VIVA KAMANDA LISU. HATA KATIKA MAUMIVU HUACHI KUONESHA TABASAMU LAKO LA UPENDO KWA WATANZANIA. TUNAKUPENDA, TUNAKUOMBEA, TUNAKUCHANGIA.
Mungu wetu anaweza hashindwi na jambo lolote.


Lissu wetu anaendelea vizuri, Asanteni Watanzania kwa maombi tuendelee kumuombea Tundu


Get well soon Lissu
6ee8ffb0303a9f313263743a55b798bc.jpg
 
Baada ya jana Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kusema kuwa wananchi wanaanza kuuona na kusikia sauti ya Mbunge wa Singida Mashariki Mhe. Tundu Lissu.

Hii hapa picha yake akioneka na yupo hospitalini, jijini Nairobi
e549d9c69c5fea4a0d7e4b2fb2646d1a.jpg
Tanzania,
Tunamhitaji Lissu awe Rais wa Tanzania 2020. Mungu hakika ana Makusudi na Mtu huyu, Watanzania Tumlinde kwa kila hali usiku na Mchana 24/7. Wanaoweza Kumnunulia Armoured Car wafanye hivyo, kama tunataka aishi nasi mpaka 2020, vinginevyo WAPUUZI waliotaka kuutoa Uhai wake, hawafurahishwi kabisa kumuona akiwa hai, watafanya kila njia! Sisi Watanzania Tumlinde Kwa nguvu zetu zote. Watu wa Namna hii hawazaliwi kila siku!! Ni Zawadi tumepewa, tuitunze!!!
 
Back
Top Bottom