PICHA: Mhe Tundu Lissu akiwa hospitalini Nairobi, Kenya anakoendelea kupata matibabu

Baada ya jana Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kusema kuwa wananchi wanaanza kuuona na kusikia sauti ya Mbunge wa Singida Mashariki Mhe. Tundu Lissu.

Hii hapa picha yake akioneka na yupo hospitalini, jijini Nairobi
e549d9c69c5fea4a0d7e4b2fb2646d1a.jpg
That is a Good Development
 
Huwo ushauri ulipaswa uwape hao wanaosambaza picha za Uongo, lengo ni nini haswa? Mnasambaza picha ambazo siyo za kweli ili nini? Mnamdanganya nani? Sidhani hata kama Tundu Lisu mwenyewe angependa hivi mnavyomfanyia, yaani kumtumia kiasi hiki bila hata chembe ya Utu!

Kuweni makini na maisha ya watu, huyo jamaa amepigwa risasi zaidi ya 30, hivyo onyesheni hata Ubinadamu kidogo kwa Familia yake na watu wake wa karibu!
Usingeandika uliyoandika basi
 
Back
Top Bottom