Picha: Mbunge wa Tarime Mjini akiwasaidia watoto wa mtaani kubeba makopo

Kama ushakula vyake ili umpigie debe pambana ila kwa huku jf umeangukia pua upat kitu
Dah kweli Dsm ina wagonjwa wa akili maelfu na maelfu hujui kwamba hii picha tayari ishampa uwaziri subiri picha nyingine coming soon, wanyonge oyeeee
 
Jamaa ni jembe saaaaana roho nzuri mno anapiga kazi KWERI KWERI , huyu anatakiwa apewe u waziri mkuu kabisa ,hakika wana tarime mmepata jembe embu angalia hapa anavyoonyesha upendo kwa wana jimbo wake,mbunge oyee
Jamaa anajali sana , ana utu kupita kiasi

View attachment 1971273
Posho anakula peke yake,
Makopo anaokota na wananchi,
Msaada wa kweli ni kuwakomboa kutoka kwenye kuokota makopo hadi kuuza bidhaa zilizobebwa kwenye makopo hayo!
 
Dok apo apa!Yaan kufanya kazi na mikamera ndio unaona ana piga kaaaaazi!!!
 
IMG_8118.jpg

IMG_8117.jpg

Alikuepo mwenzake huko Iringa
 
Jamaa ni jembe saaaaana roho nzuri mno anapiga kazi KWERI KWERI , huyu anatakiwa apewe u waziri mkuu kabisa ,hakika wana tarime mmepata jembe embu angalia hapa anavyoonyesha upendo kwa wana jimbo wake,mbunge oyee
Jamaa anajali sana , ana utu kupita kiasi

View attachment 1971273
Hujui lolote kuhusu watoto wanaoshi na kufanya kazi mitaani.
Nakushauri ukae kimya ili usionekane kituko mbele za wanaoua juu ya kundi hilo ambalo kimsingi serikali ya ccm haina chochote cha kufanya juu yao!
Huyo mbunge ametoa mchango gani kuhakikisha panaitwa na bajeti ya kuwahudumia hai watoto wa mitaani???
Kuna fungus kwenye bajeti kuu kuwahudumia hai watoto wa mitaani?
Acheni ujuha nyie watu
 
Back
Top Bottom