PICHA: Mbowe ampongeza rais Kikwete...

PICHA: Mbowe ampongeza rais Kikwete...

Kumbe Mbowe baunsa wake (anaowaita body guard) wanaishia kwenye mikutano ya CDM,press conference na maandamano tu mbele ya JK ni raia tu.

Kwenye kufungua barabara wa kwanza, leo hii kuna hospitali hazina hata gloves achilia mbali asprin. Akisikia watu wanagoma kuhusu ubovu wa administration yake huyooo anapanda ndege.
 
mikelele mengiii, wakikutana nae ovyoooooooooo

Mkuu,

Hii yakwako kali. Ungependa wakikutana basi vujo tupu na ngumi juuu... Hawa ni watanzania, tofauti zao niza kisiasa zenye malengo mazuri kwa mitazamo tofauti.
 
MBOWE3.jpg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaidiwa kuzindua jiwe la msingi na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe katika eneo la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani hai leo

MBOWE4.jpg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa na kupewa shukurani na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe katika eneo la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani hai leo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Miundombinu Mhe John Pombe Magufuli Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe L:eonidas Gama na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe wakikata utepe mojawapo ya magreda katika eneo la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani hai leo

Habari kamili,
Mwenyekiti wa chadema Taifa Mh.Freeman aikael Mbowe (waziri mkuu kivuli wa kambi ya upinzani) akiwa jimboni kwake HAI alifanya kile ambacho wengi hawaamni kama ni kweli alidhamilia au la?
lakini itabaki kuwa ndio ukweli wa mambo,Alipopewa nafasi ya kuongea Mbele ya Rais Kikwete Mh.Mbowe alisimama kwa heshima kama kawaida yake,,alisema ya moyoni,na aliendela kukili kwamba Rais kikwete ni mtu wa watu,mchapa kazi na anauongozi uliotukuka.
naomba kunukuu maneno yake
"Ndugu wana Hai,wananchi wangu naomba kusema wazi Rais Kikwete na Serikali yake ni wachapakazi sana,wanautendaji kazi uliotukuka.Naomba mungu aendelee kumpa moyo huu huu wa kuchapakazi"
Wana Jf maneno hayo aliyatamka Mh Mbowe jimboni kwake,ikumbukwe kwenye majukwaa alitangaza kutomtambua Rais kikwete na amekuwa akisusia mambo mengi ya kitaifa yanayomkutanisha na viongozi hao wa juu wa serikali.

Mbowe huyuhuyu na wanachadema waliomo humu Jf na kwingineko wangegeuka mbogo,mitandao ingechafuka kama haya maneno angetamka mtu mwingine Kiongozi au mbunge wa CHADEMA hasahasa MH.ZItto Zuberi Kabwe Rais Ajaye wa tanzania.
Mwisho napenda kuwasilisha shukrani zangu za dhati kwa viongozi wa chadema kwa chaguzi mbalimbali za udiwani licha ya kupoteza kata nyingi kuliko matarajio
Hesabu za Mgawanyo wa ZONE za kufanya mikutano inaonesha wazi kata zote alizotembelea na kufanya mikutano Dr.slaa tumeshindwa kwa kishindo,hakuna kata tuliyoshinda ambayo Dr.slaa amehutubia.
n
Ni kata chache alizotembelea Mbowe na Zitto ndio tumeshinda.Hii inaashiria nini kwa wajuaji wa siasa za upinzani?
asanteni.

mara JK wanamuita dhaifu serikali nayo dhaifu alafu hapo hapo wanaambiwa ni wachapakazi sana....ka ni wachapa kazi sana basi bora tuendelee kuwaweka kwenye power sio...kwanini tubadilishe serikali kama waliopo sasa ni wachapakazi sana
 
i respect his opinion but for me i see their efforts in the opposite direction..
 
Hebu tuwekee clip ya hotuba ya mbowe kwenye youtube sio utuandikie longolongo. Hata siku moja Mbowe hawezi kusema maneno hayo labda yasemwe na shibuda akimwomba sultani kikwete awe kampeni manager wake
 
Hesabu za Mgawanyo wa ZONE za kufanya mikutano inaonesha wazi kata zote alizotembelea na kufanya mikutano Dr.slaa tumeshindwa kwa kishindo,hakuna kata tuliyoshinda ambayo Dr.slaa amehutubia.
n
Ni kata chache alizotembelea Mbowe na Zitto ndio tumeshinda.Hii inaashiria nini kwa wajuaji wa siasa za upinzani?

mleta mada niamini nikisema kuwa dr.slaa bado anaaminika sana kwa watz na bado ni nguzo imara ndani ya cdm...bila slaa sioni cdm yenye ushawishi kwa miaka takribani minne ijayo
 
Upinzani sio vita wala ugomvi! sio kila sehemu uanze kutema cheche! na upinzani sio kupinga kila kitu! mbowe ameonyesha ukomavu wa kisiasa.ila uzi umeongezewa chumvi kupita maelezo!
 
MBOWE3.jpg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaidiwa kuzindua jiwe la msingi na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe katika eneo la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani hai leo

MBOWE4.jpg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa na kupewa shukurani na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe katika eneo la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani hai leo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Miundombinu Mhe John Pombe Magufuli Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe L:eonidas Gama na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe wakikata utepe mojawapo ya magreda katika eneo la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani hai leo

Habari kamili,
Mwenyekiti wa chadema Taifa Mh.Freeman aikael Mbowe (waziri mkuu kivuli wa kambi ya upinzani) akiwa jimboni kwake HAI alifanya kile ambacho wengi hawaamni kama ni kweli alidhamilia au la?
lakini itabaki kuwa ndio ukweli wa mambo,Alipopewa nafasi ya kuongea Mbele ya Rais Kikwete Mh.Mbowe alisimama kwa heshima kama kawaida yake,,alisema ya moyoni,na aliendela kukili kwamba Rais kikwete ni mtu wa watu,mchapa kazi na anauongozi uliotukuka.
naomba kunukuu maneno yake
"Ndugu wana Hai,wananchi wangu naomba kusema wazi Rais Kikwete na Serikali yake ni wachapakazi sana,wanautendaji kazi uliotukuka.Naomba mungu aendelee kumpa moyo huu huu wa kuchapakazi"
Wana Jf maneno hayo aliyatamka Mh Mbowe jimboni kwake,ikumbukwe kwenye majukwaa alitangaza kutomtambua Rais kikwete na amekuwa akisusia mambo mengi ya kitaifa yanayomkutanisha na viongozi hao wa juu wa serikali.

Mbowe huyuhuyu na wanachadema waliomo humu Jf na kwingineko wangegeuka mbogo,mitandao ingechafuka kama haya maneno angetamka mtu mwingine Kiongozi au mbunge wa CHADEMA hasahasa MH.ZItto Zuberi Kabwe Rais Ajaye wa tanzania.
Mwisho napenda kuwasilisha shukrani zangu za dhati kwa viongozi wa chadema kwa chaguzi mbalimbali za udiwani licha ya kupoteza kata nyingi kuliko matarajio
Hesabu za Mgawanyo wa ZONE za kufanya mikutano inaonesha wazi kata zote alizotembelea na kufanya mikutano Dr.slaa tumeshindwa kwa kishindo,hakuna kata tuliyoshinda ambayo Dr.slaa amehutubia.
n
Ni kata chache alizotembelea Mbowe na Zitto ndio tumeshinda.Hii inaashiria nini kwa wajuaji wa siasa za upinzani?
asanteni.

Well done Mhe. MBOWE. Uungwana na ubinadamu mtu akifanya mema Hana budi kusifiwa na kuambiwa asante. Waeleze na hawa Wanachamq wako wanaojifanya hawaoni Kazi Nzuri zinazofanywa na Serikali
 
Wewe unachokijua ni masama kwa sadalah...............ila epa,bot,migoti,halimashauri,richmondi,mishahara hewa, .............haya huyajui
 
kikwete kwa barabara kafanya kazi ya ukweli hata kama ana mapungufu yake lakini huyu bwana kajitahidi sana
 
Lamaya hawezi elewa milele....
kwako wewe siasa ni kama mpira wa SIMBA na YANGA!

wewe ni aina ya watanzania ambao hawatakiwi kuishi hadi sasa hivi....ugomvi sio agenda ya vyama vya siasa....maendeleo ndiyo....

tutaendelea kujadiliana na kubishana kwa best interest ya taifa letu..si uccm na ucdm umeelewa?
 
kikwete kwa barabara kafanya kazi ya ukweli hata kama ana mapungufu yake lakini huyu bwana kajitahidi sana
Kweli kabisa, nami nakuunga mkono kwa kusema"mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni." Na kwa nini binadamu wakati wote anatazama upande wa negative tu? Tuwe tunatazama na upande wa positive jamani. Na tukubali, tukatae hakuna serikali yoyote duniani ambayo itamridhisha kila mtu. Big up JK, pambana. Nakuombea umalizie ngwe iliyobaki salama ukajipumzikie babaangu. Na kama kusemwa ni sumu mbona siku nyingi tungekuwa tushakusahau rais wangu mpendwa? Waache waseme wewe chapa kazi usiku watalala.
 
Back
Top Bottom