PICHA: Mbowe ampongeza rais Kikwete...

PICHA: Mbowe ampongeza rais Kikwete...

Mbowe ni kijana wa JK humu JF Pro-Chadema povu linawatoka ovyo mwenye chama Mbowe yupo katulia kwa JK anawachora tu.

Hahaaaa nimeipenda kamanda mbowe akiwa na amir jesh mkuu.....sipati picha angekua zittoo heheeeee pangechimbika
 
Hiyo picha angekuwa Zitto, ungesema yote lakini umemuona Mbowe umeamua kusifia Kombati, ha haa ha! JK bana anawapatia sana hawa watu.
Mkuu Ritz,baada ya kumtambua kama rais,kugonganao chai ikulu, kitakachofuata ni lift za ulaya ndani ya gulf stream hapo ndio mwisho wao magwandwa.
 
Leo kupitia Itv nimeona juhudi zako kwa kuwa umeweza kumleta rais Kikwete na Magufuli wakazindua barabara ya kwasadala -masama kwa kiwango cha lami na huenda ikaunganishwa tokea MASAMA,SONU,BWANI hadi KALALI.
Nimekupongeza wewe kwa kuwa niliona juhudi zako toka bunge la bajeti ulivyoifuatilia hii barabara.
Ombi langu kwako vijiji vya USWAA,SHARI,KYERI havina huduma ya mwochwari wala zahanati ya uhakika ujitahidi uwabane hao magamba watumie hizo kodi zetu watuletee hiyo huduma.
Naomba kuwasilisha

Anapongezwa kwa kazi aliyoiombea kura? tanzania bana , kichekesho kweli, mtu analipwa kwa kazi hiyo , then unampongeza, elimu ya uraia bado sana other wise iwe ushabiki tu.
 
Kumbe Mbowe baunsa wake (anaowaita body guard) wanaishia kwenye mikutano ya CDM,press conference na maandamano tu mbele ya JK ni raia tu.
 
Mbowe kazini, jk kazini, kilaza mkuu wa wilaya mnafiki sana simpendi binafsi namfahamu kuliko watu wengi humu jf. Najua yuko humu hakika ni mnafiki mtajajua subirini ni dhaifu zaidi ya mkuu wake novatus we ni ..... Nakuchukia kuliko unavyohisi unahisi umepewa dunia kuimiliki kwa ukuu wa wilaya we ni,,.. Toka

aaah chuki binafsi,novatus,sisi tunamfahamu tangu utotoni mpaka shule na kazini kwanza hana tabia ya unafiki ukimkera anakupa hapo hapo,kuhusu kupewa udc na kuona ana miliki dunia,kwa kule alikotoka na aliko sasa naona wazi anateseka kwani tayari alikuwa vizuri mfano katika eac suala la kuzunguka kenya,uganda,burundi na rwanda kila mwezi ilikuwa kawaida sasa anaishia hai, nimeenda hai kikazi sijaona hilo kwanza muda mwingi anatumia gari binafsi ama kutembea kwa miguu na anachanganyika na kila mtu na kuwasiliza labda pointi kubwa kwako ni kuwa unamchukia tu sababu kila binadamu analo katika maisha
 
Unaacha kuwaombea wananchi huduma muhimu za afya na vipimo ili wasife wewe unaomba mochwari. kweli wewe zoba.
acha ukizibo wewe mami hoja huelewi unakurupuka tu
 
Anapongezwa kwa kazi aliyoiombea kura? tanzania bana , kichekesho kweli, mtu analipwa kwa kazi hiyo , then unampongeza, elimu ya uraia bado sana other wise iwe ushabiki tu.
kupongeza lazima wewe mama hao wa ccm mliowachagua na hata bungeni na majimboni hawaonekani utawapongeza kwa lipi?
 
so unataka akaombe mochwari serikali kuu? kwani machame hosp na uswaa kuna umbali gani??? msisitizen akomalie mfuko wa barabara wa jimabo ili iyo bara bara toka masama kuja kalali iwekewe lami na pia ya nkuu lyamungo vinginevyo atabaki kupita angani daily nyie mkivuka kikafu kwa miguu.
 
Mheshimiwa Mbowe akipanga mikakati na Rais Jakaya Kikwete ;

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

hawa jamaa nasikia ni washikaji kuliko maelezo.
 
slaa hawezi kubadilika.
Mbowe is cool.

Nakubaliana nawe ila kumbuka pale CCBRT , SLaa alimwagia sifa kibao JK alipokwenda kufanya moja ya Harambee taratibu tu, ataelewa siasa za kileo si porojo.
 
Iyo picha ya mwisho mbona Mbowe kama anambinya mkono JK..usalama wa rais wako wapi,?mh.anaumizwa hivi hivi
 
-Kuwa mkweli na you should quote him right

-Acha kupotosha.Maendeleo yaliyopo hayalingani na miaka 50 ya uhuru.

Sijui kwanini mtafute faraja kwa nguvu kiasi hiki......

Hebu tuambie,hayo maendeleo baada ya miaka 50 unataka yangekuwa vipi,ungekuwa wewe ungefanya nini na kwa namna gani? Ukizingatia hali halisi katika kipindi chote tulichopita.
 
Kuna mi pro-chadema mijinga kweli humu JF!Jana yamemtukana Mh Joseph Selasini kusema angekuwa na uwezo angeiita barabara huko rombo JK,yakamponda kuwa ni kibaraka,mamluki na Pandikizi la CCM .Leo yanamuona mwenyekiti wa chama anamsifia JK yanaanza kujikosha ooh Tanzania kwanza siasa baadae! Acheni unafiki mbulula nyiee!!
 
mimi sioni kama ni kitu cha ajabu. Maana mwaka 1976, menahem Begin alimpongeza Yitzak Rabin kwa kuwaokoa wasrael kule Entebe Kampala.
 
Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CDM amempongeza raisi JK kwa ujenzi wa miundo Mbinu hasa ya barabara hii inaonyesha ukomavu wa kisiasa kwani angeweza kumtolea vijembe na kejeli lakini nadhani hii pongezi haiondoi ukweli kuwa kuna pengo kubwa sana kati ya kilichofanyika na kilichotakiwa kufanyika hasa ukizingatia rasilimali tulizonazo
Nawasilisha

Mhe.Joseph Selasini naye alimshukuru JK lakini akatukanwa sana humu kuwa ni mamluki,mtu wa hovyo asiyefaa. Mdau mwingine alisema kuwa Mhe.Selasini alimsifu JK kwa sababu anajifagilia njia ya kwenda CCM 2015. Hapo niliona Ben Saanane akitokwa mapovu kuwa Selasini alikosea. Nilikuwa kimya kwa sababu nilitarajia Mbunge mwingine atafanya hivyo ili tuweze ku justfy licha ya kuwa hilo liliwahi kutokea kwa Mhe.Sugu na Mhe.Zitto.

Kwanza kama mwanasiasa unapaswa utumie maneno yako kwa mbinu na umakini mkubwa. Kumshukuru Rais ina maana pana sana ambapo hapa sitaiandika yote,ila kwa sehemu mkumbuke kuwa Rais ndiye Mwenyekiti wa Baraza la mawaziri ambalo hupanga matumizi( Budget) ya mwaka mzima. Rais anayo nafasi ya kuongeza au kutoa mpango wowote kwenye bajeti ya wizara yoyote.

Taabia ya kiongozi wa Siasa kushambuliwa na wasio wanasiasa au waliovaa pampers za kisiasa huku wakidhani kuwa ni Wanasiasa kama kina Ben Saanane ni tabia mbaya na ya hovyo!. Mwanasiasa anapofanikisha moja ya ahadi zake kwake ni moja ya ngazi ya kushinda tena kwenye siasa uchaguzi ujao. Wewe unayekaa Online huku huna ulichoahidi wala cha kutekeleza! Huwezi kufanya kama yeye! Unasubiri atoe kauli yoyote uweze kuongea. Yes! Endeleeni kuwalaumu wanasiasa wanapotekeleza ahadi zao kwakuwa nyie kamna cha kufanya kwa wananchi.

By Deus.
 
Hii imepangwa hawa jamaa ni mafyonso, wewe unafikiri kuzindua jiji la Arusha na hakuna mbunge ni bahati mbaya?
 
hii ndiyi vita ambayo mmeshaanza kugombea jimbo la Rombo?
kweli niliona msimamo wa Ben Saanane kupinga fikra zako za kuita barabara ya rombo jk road.mwanzoni nilifikiri ben ameanza vita ya jimboni lakini nikakumbuka misimamo yake mara nyingi ni tata.niliona mahali pengine ametwist hili la mbowe na kudai maendeleo hayalingani na miaka 50 huku akidai ni wajibu kujenga barabara
Pia Selasini uko sahihi kuhusu suala la bajeti.Cha muhimu shirikiana na ben saanane kujenga Rombo acha hofu unayoonyesha hapa.mshirikishe hata edward kinabo.najua ben pia anajipanga kwenda rombo lakini kauli kama zako za kuegemea kwa JK ndizo zitakazokumaliza kwani nimeona jinsi mpinzani wako anavyojua kuyatumia haya kukumaliza kisiasa.nilishasema mkicheza mtakosa rombo kama tarime.ninyi nyote ni wazuri wa propaganda na hatari sana kama mtachuana huko
 
Msipotoshe umma hapa. Hapo jk inabidi achanganye na za kwake maana hajui kama analazimishiwa kingi.
 
Back
Top Bottom