Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,866
Hili nalo neno
Wape wapeeee vidonge vyao, wakimeza wakitema shauri yao!

Siku za karibuni tumeshuhudia pongezi zikimwagwa na viongozi wa Chadema kwa Rais Dr. Jakaya Kikwete kutokana na uongozi wake uliotukuta katika kutekeleza ahadi kwa wananchi pasipo kujali itikadi za kisiasa.
Mheshimiwa Freeman Mbowe, Mheshimiwa Joseph Selasini na Mheshimiwa Rose Kamili kwa wakati na mahala tofauti wamesikika wakitoa ushuhuda wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo ulioenda sambaba na utekelezaji wa ahadi zilizotolewa na Rais kipenzi cha watanzania, Dr. Jakaya Kikwete.
Tangu zimetolewa pongezi hatuzikia mwanachama yeyote wa Chadema kupinga ama kulaumu matamshi ya viongozi wao.
Lakini huku nyuma tulihushudia Mheshimiwa Zito na Shibuda wakilaumiwa kwa vitendo vyao vya kutoa pongezi kwa Rais Dr. Jakaya Kikwete.
Matukio haya mawili yanatufundisha kuwa ndani ya Chadema kuna wenyewe (watokao Arusha, Kilimanjaro na Manyara) na wakuja (watokao nje ya mikoa hiyo miwili). Asanteni Chadema kwa kutudhihirishia watz kuwa ndani ya chama chenu; UKANDA unaangaliwa zaidi kabla ya kutoa kasoro kwa jambo lolote linalofanywa na viongozi na wanachama wenu.
Wape wapeeee vidonge vyao, wakimeza wakitema shauri yao!
aliyekutuma, mwambie wenyewe wamehama!
Unapingana na USHUHUDA ambao umetolewa na Mbowe kuwa serikali ya CCM inayoongozwa na JK imetekeleza ahadi lukuki katika jimbo lake na wilaya kwa ujumla ingawa mbunge wake ni mpinzani!!!hebu acha ujinga, fikiria kwa makini sehemu ambazo zimezinduliwa hivi majuzi ni jitiada za kina nani kama sio wabunge wenyewe.
Kwa mfano wilaya ya Hai(FREEMAN MBOWE) na Arumeru( Joshua Nassari).
Akili kumkichwa kijana.
aliyekutuma, mwambie wenyewe wamehama!
Siku za karibuni tumeshuhudia pongezi zikimwagwa na viongozi wa Chadema kwa Rais Dr.
Jakaya Kikwete kutokana na uongozi wake uliotukuta katika kutekeleza ahadi kwa wananchi pasipo kujali itikadi za kisiasa.
Mheshimiwa Freeman Mbowe, Mheshimiwa Joseph Selasini na Mheshimiwa Rose Kamili kwa wakati na mahala tofauti wamesikika wakitoa ushuhuda wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo ulioenda sambaba na utekelezaji wa ahadi zilizotolewa na Rais kipenzi cha watanzania, Dr. Jakaya Kikwete.
Tangu zimetolewa pongezi hatuzikia mwanachama yeyote wa Chadema kupinga ama kulaumu matamshi ya viongozi wao.
Lakini huku nyuma tulihushudia Mheshimiwa Zito na Shibuda wakilaumiwa kwa vitendo vyao vya kutoa pongezi kwa Rais Dr. Jakaya Kikwete.
Matukio haya mawili yanatufundisha kuwa ndani ya Chadema kuna wenyewe (watokao Arusha, Kilimanjaro na Manyara) na wakuja (watokao nje ya mikoa hiyo miwili). Asanteni Chadema kwa kutudhihirishia watz kuwa ndani ya chama chenu; UKANDA unaangaliwa zaidi kabla ya kutoa kasoro kwa jambo lolote linalofanywa na viongozi na wanachama wenu.
Unapingana na USHUHUDA ambao umetolewa na Mbowe kuwa serikali ya CCM inayoongozwa na JK imetekeleza ahadi lukuki katika jimbo lake na wilaya kwa ujumla ingawa mbunge wake ni mpinzani!!!
hebu acha ujinga, fikiria kwa makini sehemu ambazo zimezinduliwa hivi majuzi ni jitiada za kina nani kama sio wabunge wenyewe.