Picha: Mbowe akagua Red brigade Mwanza

Picha: Mbowe akagua Red brigade Mwanza

Waulize mabaunsa wa Lipumba kilichowakuta hawana hamu na kamwe hawataki ile kazi tena maana cha moto walikiona walikuwa dhariri zaidi ya Priton.

Na hao watakiona cha moto waingie kwenye kumi zetu kwani wote hao tunawajua kwa majina, address, makazi na kazi zao.
 
Tunausongo nao hao Subiri tukutane siku Moja ndio watajua red brigade au red mijeledi maana hakuna rangi watakosa kuijua, tutawasambaratisha wote ndio utakuwa mwanzo na mwisho wao.
 
Serikali inapaswa kukemea haya makundi ya Kihuni...
 
Mhh!! Hii hatari, Nasikia kuwa kuna mpango wa kuweka Red Brigade 200 kila kata. Hii itakuwa ni zaidi ya jeshi la polisi ambalo kwa takwimu hawazidi 35,000 nchi nzima. Ila sijui sheria inasema nini juu ya kuanzisha vyombo vya ulinzi na usalama. Ngoja tusubiri tuone.
 
ukitaka mazombi yahamaki uliza nani alipewa tenda ya ku-supply hizo suti. hehehhehe.
Unajitangaza bila kufahamu kwamba wewe ni mtu wa escrow, epa, tender,rea na mauchafu mengine yanayopamba lumumba ya makengeza inayotumia milioni kumi kununua mboga!
 
Back
Top Bottom