Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,230
- 10,201
ukitaka mazombi yahamaki uliza nani alipewa tenda ya ku-supply hizo suti. hehehhehe.
Mamaako ndo alipewa tenda
ukitaka mazombi yahamaki uliza nani alipewa tenda ya ku-supply hizo suti. hehehhehe.
Mbowe anaota kupigiwa mizinga 21
Mbowe alivyo muhuni usikute hawajala hapo vumilieni tugomboe nchi, wakati tuna miaka 53 ya uhuru.
Sawa kipele kiligeuka kuwa jipu lilo chukua uhai wa marehemu.
Wote wamevaa suti hapo, sasa kama ni za kujitolea na kushona wenyewe au chama kimewavisha sie wengine hatujui.
Hatua itakayo fuuta ni kila mmoja angalau awe na kisu mfukoni iwe cha kujitolea au kapewa na chama.
Maana kwa kuwa angalia tu hao wote introduction to self defence wote wanaijua. Ni kwa ufadhili wa chama au nikujitolea ndio pa kujiuliza.
Sasa linganisha na mafunzo ya askari wetu hawa wa kawaida. Ukienda kituo cha polisi ukiwa ambia wa kawakurupushe hawa lazima wajipange kisawasawa, hakuna cha mazoea tena hapa.
Haya na tuendelee kuona movie hadi october ndipo tutakapojua nani Sterling!!!"
Ukosefu wa ajira+njaa+bangi+madeni+umri+kuzaliwa nje ya ndoa=na izo picha
Duh hapa safar hii hakuna kulalamikia ffu
Baada ya October wote hao hutawaona tena na na babu Slaa atalea mtoto wake wa uzeeni
Mmeona anachoendeleabkufanya Mbowe ktk landa zake hakika chadema mpango wa Mungu nimefanikiwa kuona miwani ya RED Brigade hapa jijini mwanza nikabidi nichukue sample kuona wanatumia aina gani ya spying technology. Hawa jamaa red brigade wanatisha wanaweza kurekodi ma watakuwa wanarecord matukio yote ya chama na kuyatathmini baada ya mkutano ikiwa ni mbinu ya kuua kabosa uhuni wa polisi ndio maana wanajifanya kuchunguza sijui kama wamegundua ninayoyasema maana kwa sasa ukijichanganya yatakamatwa matukio kama yalivyo na kwa mkakati huu sasa wanataka kuureplacate kwenye uchaguzi hakika nakuomba tu uangalie specification hizi kwa chama chadema ambazo zitatumika kwa red brigade au yeyote atakayefaa kubeba jukum hilo kwa maslahi ya chama. Hakika 2015 hatoki mtu wala ccm na ukizingatia hata captai. Wao katangulia naona habari njema ty... tumeanza wenzetu watafuata
Item Specifics for sun glass
'''''''"'"'''"""""""""'''''''"'
Type: Mini
is_customized: YES
High Definition Support: 720P (HD)
Brand Name: watch hidden camera
Package: No
Memory Card Type: MicroSD / TF
Optical Zoom: Fixed Focus
Built-in Memory Size: Non
Camera Shape: Glasses
Model Number: glasses camera
Sensor Technology: CMOSundua
Item Specifics
Type: Mini
is_customized: YES
High Definition Support: 720P (HD)
Brand Name: watch hidden camera
Package: No
Memory Card Type: MicroSD / TF
Optical Zoom: Fixed Focus
Built-in Memory Size: Non
Camera Shape: Glasses
Model Number: glasses camera
Sensor Technology: CMOS
Mkuu bangi unayovuta ni made in wapi?[/QU
Subiri octoba
Those glasses are there yes but too expensive.Hata usalama wa taifa hawana
Teh Teh makamanda wa bavicha wako kama futuhi kila siku kutuchekesha!
Yani hiyo miwani inayo uzwa 500 mitaani ndio unasema ina kamera?Hivi chadema wapate wapi uwezo wa kununua hiyo miwani wakati ofisi kujenga wanashidwa.
Hata mkanda soweto hadi leo mnao?
Sasa nyie njooni tuu na hizo suti zenu.
View attachment 230989
View attachment 230990
Sie tuko tayari kabisa. Tunahamisha nguvu zetu kutoka kwenye Tembo na kuleta uraiani. Asema mzee Tusker Premium lager.
View attachment 230991
Mkuu mbona unanisema?