Utamduni tuHivi ni kwa nini huko wanajifunika vichwa kama Waislaam lakini wa huku vichwa wazi wanashidana kuonesha mitindo ya nywele ?
Tofauti ya huko na huku ni ipi?
jibu zuriUtamduni tu
AmenNasadiki Kwa Bwana Mmoja Yesu Kristo, Mwana wa Pekee Wa Mungu, Aliyezaliwa Kwa Baba Tangu Milele Yote.
Mungu Aliyetoka Kwa Mungu, Mwanga Kwa Mwanga, Mungu Kweli Kwa Mungu Kweli. Aliyezaliwa bila kuumbwa, Mwenye Umungu Mmoja Na Baba, Ambaye Vitu vyote vimeumbwa naye.
Hivi na Katoliki ya Roma ni Wakristo?
Roman Catholic...Kanisa la RomaHivi na Katoliki ya Roma ni Wakristo?
Tumsifu Yesu Kristu ndugu Mkatekumeni. 🙏Nasadiki Kwa Bwana Mmoja Yesu Kristo, Mwana wa Pekee Wa Mungu, Aliyezaliwa Kwa Baba Tangu Milele Yote.
Mungu Aliyetoka Kwa Mungu, Mwanga Kwa Mwanga, Mungu Kweli Kwa Mungu Kweli. Aliyezaliwa bila kuumbwa, Mwenye Umungu Mmoja Na Baba, Ambaye Vitu vyote vimeumbwa naye.
Si uimalizie tu Mzee?Nasadiki Kwa Bwana Mmoja Yesu Kristo, Mwana wa Pekee Wa Mungu, Aliyezaliwa Kwa Baba Tangu Milele Yote.
Mungu Aliyetoka Kwa Mungu, Mwanga Kwa Mwanga, Mungu Kweli Kwa Mungu Kweli. Aliyezaliwa bila kuumbwa, Mwenye Umungu Mmoja Na Baba, Ambaye Vitu vyote vimeumbwa naye.
Wewe unaonaje??Hivi na Katoliki ya Roma ni Wakristo?
Mwenyezi MUNGU akusamehe maana hujui ulisemalo.Ni Wapagani Waliojificha Kwenye Vazi La Ukristo
Ni utamaduni wa jamii zao. Kama mmasai anavyovaa shuka lake church kwahiyo wa ireland hawezi fuata takwa la kimasai hata kama ukristo ungekuwa ni asili ya umasaini.Hivi ni kwa nini huko wanajifunika vichwa kama Waislaam lakini wa huku vichwa wazi wanashidana kuonesha mitindo ya nywele ?
Tofauti ya huko na huku ni ipi?
Ni wakristo una mashaka?Hivi na Katoliki ya Roma ni Wakristo?