Tatizo lilopo Palestina ni la muda mrefu kutokea kwenye unyakuzi wa maeneo yaliyokuwa ya wapalestina kufanywa taifa la Israel. Pia unyakuzi wa maeno zaidi ulioendelea kufuatia vita mbali baina yao 1967 na 1973.
Duniani kote watu wanaandamana kupinga ulipizaji kisasi wa Israel kwa wapalestina wote, kwa vita vyake na HAMAS:
View: https://m.youtube.com/watch?v=0bfIBhWquTU
Uingereza imepiga marufuku kunyanyua bendera ya HAMAS hadharani, lakini bado zinapanda. Maandamano ni kwingi duniani. Tokea mashariki ya mbali, kati, ya magharibi hadi New York huko, ni maandamano mtindo mmoja na si madogo.
Syria, Lebanon na West Bank kumeshakuwepo makabiliano (ya moto) na makombora mazito mazito. Huko ni maeneo mapya ya makabiliano.
"Hezbollah (Lebanon) Kwa hakika wapewe maua yao kwa kusimama na wapalestina kwa vitendo vikamilifu katika wakati huu mgumu." Bila kusahau Iran iko na Palestina na Hizbolla. Na Iran Iko na Urusi.
"Revenge or collective punishment" ni haramu kokote kulikostaarabika. Katibu Mkuu UN anasema hata vita zina sheria zake. Kwamba haki za binadamu na natural justice lazima kuheshimiwa.
Marekani na washirika wake wameapa kuiunga mkono Israel kwa lolote. Bila shaka "lolote" ni kwa maana yake kamili.
"Putin amekuwa wazi. La muhimu Sasa hivi ni kisisitiza vita kusimama mara moja. Bila kusahau historia ya mgogoro huu ni kwenye uvamizi wa ardhi ya Palestina."
Maneno kuntu kabisa kutoka kwake Vladimir Putiin, (pamoja na ukakasi wake Ukraine) rais wa Urusi.
"Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni."
Kwa hakika Nyerere, Mandela, Tutu na wa namna hiyo wangekuwapo, wangesha walaani Israel na kuwaunga mkono Palestina. Kwa hakika wangekuwa wameyafanya hayo hadharani na mchana kweupe.
Uzi huu unahusika:
Kama tunataka Katiba Mpya, Tusiionee "Haya" Haki ya awaye yote