Mzawa_G
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 667
- 1,467
Wengi tumeshindwa kuelewa ni kwa vipi safari za anga za mbali zinavyokuwa katika suala zima la mienendo yake ambapo wengi wetu tumekuwa tunapata ukakasi kufahamu
Umbali kutoka katika uso wa dunia mpaka pale katika kituo cha anga za mbali ni makadirio ya 420-450 kilomita huo ni umbali wa urefu kama chombo kitatoka moja kwa moja kwa mwenendo wa vertical direction kuelekea huko kwenye kituo
Utofauti unakuja kwenye umbali mzima kwenye safari ambapo vyombo huwa vinasafiri kwa kuzunguka dunia huku vikiwa vinapanda urefu taratibu kuelekea kwenye kituo cha anga za mbali
Kipenyo cha dunia ni takribani 12,000 kilomita hapo ni kwa mzunguko mmoja tu , Kikawaida kila mission huwa na utaratibu wake haswa kwa nchi na nchi mfano Nchi ya Urusi huwa na utaratibu wao na pia nchi ya Marekani huwa na utaratibu wao kutokana na aina ya vyombo wanavyovitumia
Urusi hutumia chombo cha Soyuz ambacho hutumia kiasi kisichopungua Masaa 4 had 5 kuelekea katika kituo cha anga huku Manuever mengi yakifanywa na rubani kuweza kuwafanya wanaanga wasikae ndani ya chombo kwa muda mrefu zaidi kwakuwa chombo hicho huwa ni kidogo sana , kiufupi hawa wanapita njia za shortcut sana
Marekani wao kwasasa hutumia chombo cha Crew dragon ambacho chenyewe hutumia muda wa masaa 19-21 kuelekea katika kituo cha anga za mbali hawa sasa hufanya mizunguko mingi ya dunia yetu huku wakipanda kuelekea juu taratibu tofauti na wanavyofanya warusi , kikubwa chombo chao huwa na space kubwa na chengine Marekani hufanya tourism mbalimbali za anga wakati wa safari yao
Kwa yule aliyeiliza swali nadhani haya ndio majibu yake kamili , safari za anga ni tofauti kabisa na safari za duniani , pia chombo huwa kinazunguka dunia na sio kama wengi wanavyodhani kuwa kinasafiri kuelekea juu na pili umbali wa km 420-450 ni ule wa kuelekea kwa mwenendo wa vertical na wala sio horizontal kama vyombo vya anga vinavyosafiri
Moudyswema
Tanzaniascienceyetu
AstronomyKiswahi